Anataka kumuacha kisa ufupi

hawakumeet online...
tulikua tumeenda shop kununua vifaa flani hivi and the guy alikua hapo pia ndo wakabadilishana namba.
sema the guy alikua upande mwingne amekaa,so i guess hakumuona vizuri(hata me sikuweza kunotice pia)
Mh mtu mfupi hata akiwa amekaa...lazima utajua tu.
 
Ana kibamia?
 
sio adabu..and me simfeel...namuheshimu
Aaah! acha hizo bhana...

Au basi mshauri Cuzo ampe mbunye wakiwa wamesimama ili awe anachechemea kuifikia, automatically atarefuka tu refer Darwin's theory of evolution utaelewa how giraffe got his long neck.
 
Aaah! acha hizo bhana...

Au basi mshauri Cuzo ampe mbunye wakiwa wamesimama ili awe anachechemea kuifikia, automatically atarefuka tu refer Darwin's theory of evolution utaelewa how giraffe got his long neck.
[emoji23][emoji23][emoji23]silly you
 
Hii story yako ndio ina justify ule usemi wa kwamba huwezi mridhisha mwanamke daima.

Ni kiumbe chenye tamaa mno hasa ya vitu ambavyo havina kichwa wala mguu ilimradi tu hisia zimemtuma hivyo na huwa hawazi impact ya maamuzi yake binafsi kwa watu wengine.
 
mkuu hata kama genetics ni za urefu...
 
Tall and Dark men.. are on high mandate, watakusumbua..LOL!

Tena huyu andunje akitemwa, apige magoti kumshukuru Mungu.
-nothing Good gets away
tall black...eeeeh...nahisi na mm nimo...
 
Hawa viumbe bhana itachukua muda sana mpaka kuwafahamu vyema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…