Anataka kuachana na ualimu wa msingi, ahamia kada gani?

Kwetu kaya

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
575
464
Rejea kichw cha habari,
Ameniomba ushauri anataka kuachana na ualimu wa msingi, Vipi nimshauri apigie kozi ya kada gani?

Lengo lake kachoka ualimu au mnamshauri nini waungwana.
Ushauri wenu ni muhimu sana.

Anadai yupo njia panda.
 
Haijaeleweka lengo lake ni kupata ajira au vip? kama ajira kwake sio tatizo mwambie akasomee kitu anachokipenda zaidi
 
kiukweli mada yako aipo clear! anahitaji kuamia ualimu secondary au anahitaji kuachana na ualimu totally??
 
Back
Top Bottom