Yaan Mzee A.Nyerere hizo ndo busara zako,yaan kwa sabab Kawawa aliwah fanya hivyo nae afanye? Watu weng sana hivo vit tunapenda lkn tunaogopa kuangamiza na kuharib mustakbari wa watoto na familia zetu. Yeye kama din yake inaruhusu amwambie mke wake akimkubalia amuoe kabisa awe na familia mbili.
sawa mkuu nimekusomaKama wote walonishauri nisiendelee na huyo mrembo wanatenda sawa na walivyonishauri; bas ulimwengu unaelekea kubadilika. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba theory ni raisi kuliko practical; siamini hata wewe Mndengereko kama ni mkamilifu kiasi hicho - na ndo maana umefika hatua ukasema SISI WANAUME TUNAJIJUA WENYEWE.
Hata wanawake wanajijua wenyewe na mambo yao ya kubeba waume za watu na vijana wadogowadogo.
Hakika kila m2 atateba mzigo wake mwenyewe.
Ila nikwambie kitu rafiki yangu ......
Binafsi nikitenda jambo ambalo nafsi yangu inanisuta, nikilitoa kwa rafiki yangu wa karibu na kulijadidi; kuna namna fulani ya kujisikia kama mzigo wa wazo hilo umepungua. Na hapa JF nawadhamini sana kama marafiki zangu wa karibu sana - ndo maana zigo hili nimelitua kwenu ili mlijadili na kunishauri.
NAWASHUKURUNI SANA WOTE MLOCHANGIA KATIKA MADA HII NA NINAAMINI MAWAZO YENU NITAYAFANYIA KAZI.
Hizo ni busara za Kawawa. Niambie watoto wa Kawawa wana matatizo gani,au wana shiki gani.
The bottom line ni kwamba ndoa siyo important,what is important ni kwamba mtoto akizaliwa wazazi wa-take responsibility,wamtunze. Lakini wazazi wakianza kurushiana mpiara kuhusu nani amtunze mtoto;hivyo ndivyo tulivyifika hapa tulipo,na hao watu wa New World Order ndio wanapanga mipango ya depopulation ya Dunia.[Naju sasa watu watauliza,we Andrew,do you ever think of anything other than The New World Order?]
Nianze tu kuchuma dhambi na wewe kwa kukushauri janga kama hili,we endelelea kumfurahisha shetani ndugu soon ataku award
Mpiga kwanza sindano ya kuzuia mimba ndipo ule kwa kujipendelea mwenyewe.
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.
Kwa hiyo nichomoe kiaina eh! Huyo mdada anaonesha kunipenda sana; nikimuacha naona kama nitakuwa sijamtendea haki. Ameishanitambulisha kwa marafiki zake wengi kwamba mi ni mtarajiwa wake.
hujawajua wanawake vzur.,.kinachofuata ni kumfukuza mkeo ulete kimada