Anatafutwa mpenzi, Mwanza

Siku hizi kupata mpenzi imekuwa rahisi sana, sio miaka yetu ya 47, unatuma hadi washenga lakini binti anachomoa 🙌

Ndiyo maana hata ndoa zilikuwa zinadumu, mtu unawaza nikimpoteza huyu niliyenaye nitalazimika kusubiri hata miaka 3 usimpate...nani ataweza kuishi kwa nyeto miezi 36 🤪

Kila la heri Mkuu, Mungu akutimizie hitaji lako 🙏🙏🙏
 
Mkuu 30 Kwa 37 ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…