Anatafutwa Kijana kwa ajili ya kutengeneza juice ya miwa na matunda mengine.

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
799
619
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, anatafutwa Kijana jinsia yeyote lakini ambaye anajua kutengeneza juice ya miwa na ya matunda mengine vizuri.

- Awe muanifu.
- Awe anaishi Dar es salaam
- Awe anaweza kujisimamia mwenyewe
- Awe anaweza kuvitunza vifaa vya kazi
- Awe msafi

...mambo mengine ni makubaliano kati ya mwenye biashara na yeye. Muhimu ni kwamba kutakuwa na mkataba wa kujaza,awe na wadhamini 2 na barua ya serikali za mitaa, picha 2 (passport size)sababu yeye atakuwa mmiliki wa muda wa vifaa vya kazi, ataachiwa awe anavisimamia yeye mwenyewe bila kufuatwa fuatwa (atakuwa huru kabisa).

Karibuni PM, kwa atakayehitaji.
 
Back
Top Bottom