Anatafutwa dada wa kusupply matunda maofisini

Anatafutwa dada wa kusupply matunda maofisini

Maji Chai

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2018
Posts
266
Reaction score
367
Habarini ndugu zangu, kuna ndugu yangu anatafuta mdada ambaye atakuwa anamsaidia kusambaza matunda maofisini,ila awe anakaa Dar.

Kwa mdada yeyote atakayekuwa yupo tayari awasiliane nae kupitia 0766281783
 
Back
Top Bottom