sweetdada JF-Expert Member Feb 17, 2011 517 169 Aug 27, 2020 #1 Habari Wana JF, Natafuta binti au kijana kwa ajili ya kuuza/ kuhudumia katika duka la mapambo/zawadi, yaani Gift Shop Awe mwenye umri kuanzia miaka 23 Awe anaishi Dar es Salaam Duka lipo Mikocheni, Awe anaishi maeneo ya karibu na hapo Awe muaminifu Awe mwenye uzoefu wa kazi hiyo kwa muda usiopungua mwaka mmoja. Tuma maombi yako kwa e-mail invitetanzania@gmail.com kabla ya tarehe 15 Septemba, 2020
Habari Wana JF, Natafuta binti au kijana kwa ajili ya kuuza/ kuhudumia katika duka la mapambo/zawadi, yaani Gift Shop Awe mwenye umri kuanzia miaka 23 Awe anaishi Dar es Salaam Duka lipo Mikocheni, Awe anaishi maeneo ya karibu na hapo Awe muaminifu Awe mwenye uzoefu wa kazi hiyo kwa muda usiopungua mwaka mmoja. Tuma maombi yako kwa e-mail invitetanzania@gmail.com kabla ya tarehe 15 Septemba, 2020
Niache Nteseke JF-Expert Member Apr 29, 2020 1,959 2,176 Aug 27, 2020 #2 Elevat Kapela said: Mwisho wa maombi lini? Click to expand... Halafu mkinyimwa kazi mnalaumu Oooh kazi hakuna wakati kazi zipo ila umakini ndio hakuna...!
Elevat Kapela said: Mwisho wa maombi lini? Click to expand... Halafu mkinyimwa kazi mnalaumu Oooh kazi hakuna wakati kazi zipo ila umakini ndio hakuna...!
The Icebreaker JF-Expert Member Feb 11, 2018 18,166 51,115 Aug 27, 2020 #3 Elevat Kapela said: Mwisho wa maombi lini? Click to expand... Rudia tena kusoma thd utaona kuna tarehe imewekwa hapo.
Elevat Kapela said: Mwisho wa maombi lini? Click to expand... Rudia tena kusoma thd utaona kuna tarehe imewekwa hapo.
nitazoea Senior Member Mar 15, 2017 195 237 Aug 27, 2020 #4 Elevat Kapela said: Mwisho wa maombi lini? Click to expand...
Ulongupanjala JF-Expert Member Apr 9, 2013 7,681 12,313 Aug 28, 2020 #5 Labda kaazima simu ya shemeji anasoma chap chap. Wasomi wa mwendo kasi ni tatizo hapa nchini. Niache Nteseke said: Halafu mkinyimwa kazi mnalaumu Oooh kazi hakuna wakati kazi zipo ila umakini ndio hakuna...! Click to expand...
Labda kaazima simu ya shemeji anasoma chap chap. Wasomi wa mwendo kasi ni tatizo hapa nchini. Niache Nteseke said: Halafu mkinyimwa kazi mnalaumu Oooh kazi hakuna wakati kazi zipo ila umakini ndio hakuna...! Click to expand...
sweetdada JF-Expert Member Feb 17, 2011 517 169 Sep 18, 2020 Thread starter #7 Habari wadau, Namtafuta Bahati Peter ambae alituma maombi ya kazi tajwa hapo juu lakini namba aliyoweka sio sahihi tafadhali kama unasoma hapa tutumie namba yako sahihi kwenye email: invitetanzania@gmail.com.
Habari wadau, Namtafuta Bahati Peter ambae alituma maombi ya kazi tajwa hapo juu lakini namba aliyoweka sio sahihi tafadhali kama unasoma hapa tutumie namba yako sahihi kwenye email: invitetanzania@gmail.com.
Joselela JF-Expert Member Jan 24, 2017 5,677 6,962 Sep 18, 2020 #8 Bahati fanya fasta. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,205 33,224 Sep 18, 2020 #9 Kwanini umng'ang'anie huyo huyo bahati,wakati katuma simu fake?
Vi rendra JF-Expert Member Sep 11, 2017 3,265 5,594 Sep 18, 2020 #10 Elungata said: Kwanini umng'ang'anie huyo huyo bahati,wakati katuma simu fake? Click to expand... Ushaambiwa bahati kabahatika kweli mkuu
Elungata said: Kwanini umng'ang'anie huyo huyo bahati,wakati katuma simu fake? Click to expand... Ushaambiwa bahati kabahatika kweli mkuu