sweetdada
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 517
- 169
Habari Wana JF,
Natafuta binti au kijana kwa ajili ya kuuza/ kuhudumia katika duka la mapambo/zawadi, yaani Gift Shop
Natafuta binti au kijana kwa ajili ya kuuza/ kuhudumia katika duka la mapambo/zawadi, yaani Gift Shop
- Awe mwenye umri kuanzia miaka 23
- Awe anaishi Dar es Salaam
- Duka lipo Mikocheni, Awe anaishi maeneo ya karibu na hapo
- Awe muaminifu
- Awe mwenye uzoefu wa kazi hiyo kwa muda usiopungua mwaka mmoja.