Anatafutwa binti/kijana wa kuhudumu kwenye Gift Shop

sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
503
250
Habari Wana JF,

Natafuta binti au kijana kwa ajili ya kuuza/ kuhudumia katika duka la mapambo/zawadi, yaani Gift Shop
  • Awe mwenye umri kuanzia miaka 23
  • Awe anaishi Dar es Salaam
  • Duka lipo Mikocheni, Awe anaishi maeneo ya karibu na hapo
  • Awe muaminifu
  • Awe mwenye uzoefu wa kazi hiyo kwa muda usiopungua mwaka mmoja.
Tuma maombi yako kwa e-mail invitetanzania@gmail.com kabla ya tarehe 15 Septemba, 2020
 

sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
503
250
Habari wadau,

Namtafuta Bahati Peter ambae alituma maombi ya kazi tajwa hapo juu lakini namba aliyoweka sio sahihi tafadhali kama unasoma hapa tutumie namba yako sahihi kwenye email: invitetanzania@gmail.com.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom