Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,704
Angeweka full picture sio passport



Duh!!
Sasa raha ya mshangazi si ni minyama nyama tele 😂Full picha pangekua padogo humu ndani kama angekua na minyama nyama![]()
Funga ni siri.... na why nisifungeHemedi haujafunga???
fanya kazi acha uchok....Anatafuta sponsa au king’asti
Maana ni mshangazi huo kabisa
Sasa umefunga halafu watafuta naniliu?Funga ni siri.... na why nisifunge
Sasa raha ya mshangazi si ni minyama nyama tele
Hakunaga mshangazi kimbaumbau
Punguza spanner za uso mkuu![]()


Natafuta nini... unajua kusoma au unakaz fuvuSasa umefunga halafu watafuta naniliu?
😅 mtego wa sinzaWahi sasa kupiga simu si umeona nafasi ni chache
Na haka kabaridi unapapasa minyama tuu
Watu wanapigwa mda si mrefuMy wangu najaribu kumuangazia tochi mpigaji huyu
Vumilima zimebaki chache tu 😁Natafuta nini... unajua kusoma au unakaz fuvu
Darlin una hakika kuna minyama dear?? Siku hizi mambo mengi jamaa anaweza jikuta anapapasa mwili mgumu uliojaa vinyweleo tu tena vinyweleo vya kipilipili 😁Wahi sasa kupiga simu si umeona nafasi ni chache
Na haka kabaridi unapapasa minyama tuu
Darlin una hakika kuna minyama dear?? Siku hizi mambo mengi jamaa anaweza jikuta anapapasa mwili mgumu uliojaa vinyweleo tu tena vinyweleo vya kipilipili![]()





Single mother kama wee mnahitaji kupimwa Afya ya akiliNdio single mother ubaya uko wapi?
Nimekuomba unilelee mwanangu au unawashwa bure
Single mother kama wee mnahitaji kupimwa Afya ya akili
Naweza kumlea huyo mwanao na wewe.