Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,079
Sasa simu yangu inaongezaje imani?simple
hana imani
either hajiamini au hakuamini au both..
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??
The one who hires the investigatives should be included in the list of suspects,the one who hires the investigatives should be included in the list of suspects,
HorsePower napungukiwa chaji mwenzako, si unajua tena android ambavyo hazikai na chaji?Hata mimi sijui anatafuta nini, ila je we unapungukiwa na kitu kwa yeye kuperuzi simu yako?
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??
Duh! Nimesoma mara 10 sijaambulia kitu!