Anatafuta Mume

Anatafuta Mume

Habarini wana jukwaa, Natumai mko poa.

Bila kupoteza muda niende kwenye ujumbe tajwa hapo juu.
Kuna Dada ambaye ni rafiki yangu wa karibu kwa kipindi kirefu sasa tumekua kama ndugu.

Tumekua tukishea mambo mbalimbali ya maisha na ivi karibuni aliweza kuniambia yanayomsibu baada ya kuongea naye na kumwambia amsalimie shemeji yangu.

Ni stori ndefu sana sipend kuwachosha. Kwa ufupi yeye ni mwalimu wa primary, umri 29. Anaishi mkoani Kilimanjaro.

Hachagui kabila wala dini . Hayupo jf kwa mwanaume yeyote aliyeko serious ani PM Nimpe no yake. Naomba kuwasilisha.
 
Umeulizwa ana mkia???
Nakumbuka mwalimu wangu wakingeteza alikua akinisisitiza kuuliza maswali kwa msemo huu
There is no foolish question but foolish answers.
Kusema wadada wana mkia sio vizuri ila ngoja wenye nao waje
 
Huyo hatafuti mume anatafuta bwana,mume bora na wa maisha kushabihiana dini ni moja ya kugezo muhimu kabisa
 
Huko mtahani kwenu ama marafiki zako si wamchukue tu. Inatakiwa uweke picha yake asije kuwa una tuhuzia zombi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom