Anatafuta maharage ya kule huyu

Na vipi kuhusu kuzaa watoto? Au nalo hujaona umuhimu wake?

Sipendi wala sifikirii kuwa single parent kwakuwa mawazo ya kuolewa sina.

Napenda watoto ila sifikirii kuzaa wala sina mpango huo. For company on my later days siwezi kosa mtoto wa kuishi nae kwakuwa wapo tele kwenye vituo vya kulelea mayatima ni process tu ukizifuata basi namchukua na kumlea kama mwanangu. Ntafanya hivi nikishafanya maamuzi ya ku adopt mtoto.

Kasie.
 
Hapa Kasie kwakweli sijaungana nawe japo shauri lako lidumu milele kwakuwa ni maamuzi yako. Ulimwengu wa mapenzi siku zote utabakia hivyo chini ya jua hata wakishushwa malaika watabihave ule utakatifu kwa muda flani watajimix na dunia baadae wakishayazoea mazingira. Leo ni nzuri kwa maamuzi yako kuwa hivyo lkn kuna kesho pia ambapo siamini sana kama itakupa nafasi nzuri ya kuingia kwenye agano ukiwa na furaha kama wakati huu..... Anyway bado yote juu ya yote yapo kwako.
 
Amen!!
 
Kasinde umekuwa unseen friend of mine. Tokea nimeisoma thread yako ya kwanza hapa nilitambua wewe ni mmoja kati ya great thinker humu ndani. Na Mungu anapokupendelea kukupa vitu vyote vizima huwa na sababu za msingi kabisa.... we sio wa kuadopt mtoto wakati nguvu za kupush unazo..... lkn bado naheshimu mawazo yako sana..
 
Nimependa andiko lako na msimamo wako isipokuwa sikulipenda hilo neno Nye.. ungetumia neno jingine kuwasilisha ujumbe wako..
Here is where we dare to talk openly.
 
Mbona nakujua in out, maelezo yako si kweli, ukibisha njoo pm nikuambie wewe nani.
 
Am humbled.... Thanks for the respect....

Kasie.
 
Mbona nakujua in out, maelezo yako si kweli, ukibisha njoo pm nikuambie wewe nani.
Wanaonijua in out ni wengi tuu wala sio pekeyako na yet sijaenda pm kuchat nao.

This is Kasie. ...whether you like it or not she'll be Kasie and keep on being Kasie.

Nikibadilika sana ntakuwa ME MYSELF AND I.

Kasie.
 
Haha kuwa Yaya tu
 
Basi acha kudanganya.
 
Ndio maana napenda kuwa mwalimu, unachezea maboga ya kila aina
 
Wanaonijua in out ni wengi tuu wala sio pekeyako na yet sijaenda pm kuchat nao.

This is Kasie. ...whether you like it or not she'll be Kasie and keep on being Kasie.

Nikibadilika sana ntakuwa ME MYSELF AND I.

Kasie.
Strong Kasie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…