anatafuta kazi za ndani

anatafuta kazi za ndani

Matege

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
1,476
Reaction score
648
miss chagga na mshana jr sample ya mabinti wa kazi niliowapata ndio hii.. nakuja Dar jumatatu. hebu nipeni order zenu mapema ili nije nao wa kutosha
 

Attachments

  • 1414851930484.jpg
    1414851930484.jpg
    94.5 KB · Views: 1,765
Last edited by a moderator:
Kizuri hakikosi doa ni kwa ndani ni B P na presha tu hiyo
 
Hakuna kitu kama hiki. Yaonekana laivu kavaa zile nguo za kuongeza tacko. Mungu hakoseagi, ukiona tacko na mwili na sura kama ni original vitaendana tuuu. Hapo mzigo umepitilizaa.
 
Hiyo semi trailer ya kazi gani tena mbona atavunja doa za watu
 
Huyu anatafuta kazi za nyumbani, za ndani naziweza mwenyewe, mhhhhh hapana mkuu usiniletee nitapata pressure bure
 
miss chagga na mshana jr sample ya mabinti wa kazi niliowapata ndio hii.. nakuja Dar jumatatu. hebu nipeni order zenu mapema ili nije nao wa kutosha

Hahahaaaaa huyo kaacha kazi kwangu mwezi uliopita ni mzembe kapitiliza hata usiku ilikuwa ni shida kunifungulia mlango wa nyuma
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa huyo kaacha kazi kwangu mwezi uliopita ni mzembe kapitiliza hata usiku ilikuwa ni shida kunifungulia mlango wa nyuma

sio huyu mtani.. namkumbuka yule wa mwanzo
 
Huyu anatafuta kazi za nyumbani, za ndani naziweza mwenyewe, mhhhhh hapana mkuu usiniletee nitapata pressure bure

mkuu utampenda mwenyewe.. yuko sharp sanaa
 
Sitaki kupewa murder case buree. ...

Acha tuu nifanye kazi za ndani mwenyewe. ...
 
Back
Top Bottom