anatafuta kazi za ndani

anatafuta kazi za ndani

Sitaki kupewa murder case buree. ...

Acha tuu nifanye kazi za ndani mwenyewe. ...
marejesho usitishike na hilo cundu, ni nyama tu hizo hata kwenye sambusa zipo after all hubby wako ugonjwa wake ni short chasis
 
Last edited by a moderator:
ebu tupia picha yake mtani

Naogopa red card Matege mods siku hizi wakali mno na picha yake niliyo nayo ni ile ametoka bafuni halafu taulo likaanguka mbele yangu bahati mbaya
 
Last edited by a moderator:
Kakyani huyu anaweza kumaliza kihenge changu cha mbegu za kiume kwa huo mpodod wake!
 
mkuu utampenda mwenyewe.. yuko sharp sanaa

Yaani huo u sharp wake ndio siutaki kabisa maana atanitenda tu, na shemeji yako kila siku atachelewa kurudi home ili bint amfungulie mlango wa uani, ahsante kwa fadhila zako mkuu baki naye wewe, ila usije kutulilia
 
Naogopa red card Matege mods siku hizi wakali mno na picha yake niliyo nayo ni ile ametoka bafuni halafu taulo likaanguka mbele yangu bahati mbaya

ntumie private mtani
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa huyo kaacha kazi kwangu mwezi uliopita ni mzembe kapitiliza hata usiku ilikuwa ni shida kunifungulia mlango wa nyuma

Uwiiiii mbavu zangu hata angekufungulia huo mlango wa nyuma ungeingia??? Tuambie ukweli mkuu isiwe ulishindwa kuingia ukamfukuza, tatizo hamkawii kugeuza maneno
 
Back
Top Bottom