Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,495
ha ha ha hasiku atakayoanza kazi hapo kwako ndiyo siku hiyohiyo mkeo atafungasha na kuondoka.
mkuu kazi ipo weka mawasialiano yake tumpe kazi.ha ha ha ha
mkuu huna kakazi hata ka kufuta vumbi vyombo tu...
siku atakayoanza kazi hapo kwako ndiyo siku hiyohiyo mkeo atafungasha na kuondoka.
Semeni, hupendi madada wa kazi warembo??Ukiona mwanaume anakubali kuwa dada wa kazi kama huyo ni afadhari kuomba taraka mapema
Hahhahahaaaa sio kazi hizo kaka za kusugua masufuria na kufagia nyumba na kufua na kupika ni zile 'KAZI ZA NDANI'siku atakayoanza kazi hapo kwako ndiyo siku hiyohiyo mkeo atafungasha na kuondoka.
Sio hizo weweNikajua ni wale wadada wa kazi wa ukweli! Nimekuja mbio!! ila kwa huyu hapana!! amekosa sifa stahili.
Wana watu wao usiwaone hivyo!!Hivi wanawake waliopigwa pasi wanajisikiaje wakimuona huyu!!?