Anatafuta kazi ya u-secretary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafuta kazi ya u-secretary

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Askofu, Feb 11, 2011.

 1. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Wapendwa Mabibi na Mabwana,

  Kuna ndugu yangu ambaye ni secretary. Alikuwa anafanya kazi mahala fulani kwa mkataba na sasa muda wake umeisha.

  Mkiwa kama waumini wazuri, naomba msaada kama kuna mwenye nafasi au anaweza kumsaidia apate kazi, ani-PM for more details. Kwa niaba yake na kanisa langu natanguliza shukrani za dhati.

  Nawaombea mpate Baraka Tele
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  weka CV hapa nimtafutie kazi Dowans mi namjua mmiliki wake
   
 3. E

  Edo JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wki moja au mbili zilizopita kulikuwa na Tangazo kwenye daily news wanatafuta secretary-tafuta hilo tangazo
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Asante Edo. Ila kupata gazeti la 2 wks ago itakuwa taabu kidogo labda niende kwao kuulizia
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Askofu soma kazi za TACAIDS kuna nafasi za secretary
   
Loading...