khalifa Telemken
Member
- Aug 17, 2021
- 6
- 6
Wakuu,
Habari za muda huu,
Natanguliza shukrani. Kuna dada anatafuta kazi. Ana Certificate ya Usecretary na Computer. Anatafuta kazi ya Usecretary au Stationery.
Nimeona niliwasilishe kwenye wana jamvi kwa mwenye kufaham au kuweza kumsaidia tumsaidie. Anaishi Kitunda, Dar es salaam. Ingependeza pia iyo nafasi iwe kwa mkoa wa Dar es salaam.
Asanteni.