Anatafuta kazi, na elimu ya kidato cha nne

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,798
28,465
Wadau habari zenu,nina cousin wangu '25' yy ni me.

ki elemu ameishia form 4 anatafuta kibarua chochote hata cha kuanzia elf 5 kwa cku.anaomba msaada kwa yoyote mwenye uwezo wa kumsadia kwa njia yyte ile hata ya kumuunganisha sehemu au kwa ushauri pale panapo wezekana yupo tayali kulipwa hata kwa cku na kuanza kazi mda wwte pia ni mwaminifu na mchapa kazi,

kwa sasa anapatikana Temeke- Dar es salam.kwa maelezo zaidi na aliye tayali anaweza ku ni pm.
nawasilisha
 
Back
Top Bottom