Anatabia zinazo kera, nifanyeje juu ya hili?

MKRK

Member
Apr 3, 2017
37
25
Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja yapata mwaka sasa. Baada ya kukaa nae kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja nimegundua ana vitabia ambavyo vinanikera japo ananipenda na ninampenda tatizo ni hivyo vitabia.

Kwanza anapenda sana kushika papuchi yake kila mara na kujinusa nusa, pili ni mgumu sana kubadli nguo za ndani kama tight na sidiria yani anaweza akavaa wiki nzima sidiria na tight hiyo hiyo. Kiukweli sivutiwi na hii tabia japo kuwa ana papuchi tamu na pia ukimuona kwa nje alivyonadhifu huwezi fikiria kama ni mchafu kiasi hicho

Je, nifanyeje kukomesha haya?

Ushauri
 
Mueleze kuwa haupendi hayo unayoyaona kwake na umpeleke dukani kumnunulia zingine, kama saba saba au zaidi kwa uhakika atabadili na kufua kila siku pia. Kwa hiyo hafui dah, huyo ni kasheshe!?

Ungekuwa unampenda kweli ungesha mueleza hayo zamani, umevumiliaje hayo muda wote kisa papu tamu...nawe ujibadilishe kwa kupenda uchafu na hatakuelewa hivyo mkae muongee mkiwa mmetulia.
 
Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja yapata mwaka sasa.Baada ya kukaa nae kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja nimegundua ana vitabia ambavyo vinanikera japo ananipenda na ninampenda tatizo ni hivyo vitabia.Kwanza anapenda saana kushika papuch yake kila mara na kujinusa nusa,pili ni mgumu sana kubadli nguo za ndani kama tight na sigilia yani anaweza akavaa wiki nzima Sigilia na tight hiyo hiyo.Kiukweli sivutiwi na hii tabia japo kuwa ana papuchi TAMUU na pia ukimuona kwa nje alivyonadhifu huwezi fikilia kama ni mchafu kiasi hicho jeee nifanyeje kukomesha haya ushauli pliz
Tumekuelewa kwamba nawe unakula papuchi tamu. Nyie vijana mnatakiwa kufahamu kwamba Papuchi ya aina yoyote haijawahi kukosa utamu.
 
Mueleze kuwa haupendi hayo unayoyaona kwake na umpeleke dukani kumnunulia zingine, kama saba saba au zaidi kwa uhakika atabadili na kufua kila siku pia. Kwa hiyo hafui dah, huyo ni kasheshe!?

Ungekuwa unampenda kweli ungesha mueleza hayo zamani, umevumiliaje hayo muda wote kisa papu tamu...nawe ujibadilishe kwa kupenda uchafu na hatakuelewa hivyo mkae muongee mkiwa mmetulia.
Sipend uchafu Niko nae koz nampenda
 
Mnunulie Chupi nyingi, hata saba alafu kila moja andika siku yake. Kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili. Mhakikishie avae kila chupi kwa siku yake.

Ukimkuta kavaa chupi ya Jumanne wakati siku hiyo ni Jumapili, mzingue. Acha kummendea aendeleze uchafu wake.

Vivyo hivyo kwa sidiria.

Hiyo ya papuchi, muepekee pilipili mkononi, akishika papuchi imuwashe.
 
Back
Top Bottom