je mke au mme wa ndoa ni kipi cha msingi kuangalia?
Cha msingi ni maadili mema.
Ndani ya maadili mema utapata tabia njema.
Ndani ya maadili mema utapata upendo na wema.
Ndani ya maadili mema utapata heshima na stara.
Ndani ya maadili mema utapata uaminifu.
Ndani ya maadili mema utapata mwenza mtulivu, mwelewa, mpiganaji na asiye na mapepe wala macho juu.
Sasa maadili mema ndo nini? Ndo madubwana gani hayo?
Jibu ni juu yako mwenyewe kwani watu tumetofautiana maadili. Sifa bainishi zinazofasili maadili mema kwangu zinaweza ziwe tofauti kabisa na za mwingine.
Muhimu ni kujijua wewe ni mtu wa aina gani, kufasili maadili yako mwenyewe na kuyakubali, na hapo ndo utakapopata muongozo wa mambo gani muhimu ya kuangalia na kuzingatia katika kutafuta mwenza wako.

Ukiamua kutoa hoja kisawasawa huwa unanifurahisha sana!
na akiamua kuripua anaripua kweli....
Uzuri nilishauweka pembeni, sahv tabia tu
kwa nini uliuweka pembeni