Anashangaza cheki ukweli ama uongo

Anashangaza cheki ukweli ama uongo

mpwelo

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Nilipokaa nakutafakari maswali mengi katika mkutadha huu,bado sina jibu kamili juu ya hili kwanini watu wahangaika kutafta mke au mme kwa vigezo eti urembo au uhandsome,kweli ni lazima vizingatiwe lakini tabia ya mtu tunaiweka wapi je mke au mme wa ndoa ni kipi cha msingi kuangalia?
 
je mke au mme wa ndoa ni kipi cha msingi kuangalia?

Cha msingi ni maadili mema.

Ndani ya maadili mema utapata tabia njema.

Ndani ya maadili mema utapata upendo na wema.

Ndani ya maadili mema utapata heshima na stara.

Ndani ya maadili mema utapata uaminifu.

Ndani ya maadili mema utapata mwenza mtulivu, mwelewa, mpiganaji na asiye na mapepe wala macho juu.

Sasa maadili mema ndo nini? Ndo madubwana gani hayo?

Jibu ni juu yako mwenyewe kwani watu tumetofautiana maadili. Sifa bainishi zinazofasili maadili mema kwangu zinaweza ziwe tofauti kabisa na za mwingine.

Muhimu ni kujijua wewe ni mtu wa aina gani, kufasili maadili yako mwenyewe na kuyakubali, na hapo ndo utakapopata muongozo wa mambo gani muhimu ya kuangalia na kuzingatia katika kutafuta mwenza wako.
 
Well said!
 
Ukiamua kutoa hoja kisawasawa huwa unanifurahisha sana!
 
uhandsome na urembo hupotea sometime bt tabia ya mtu kamwe haibadiliki,
 
Watu wanaangalia nje mtu yuko vipi kuliko ndani yake. Tabia muhimu sana kiliko uzuri wa nje
 
Mambo mengine hayana uhalisia na tunadanganyana tu!

Unawezaje kujua tabia ya mtu bila kuvutiwa nae nakumfuatilia?

Na kitu gani kinakuvutia kwa mtu kama sio muonekano wake wa nje?

Mi nadhani mvuto wa mtu ndio kitu cha kwanza kinachomshauwishi mtu kutaka kujua tabia ya ndani ya mhusika! Baada ya hapo mtu ndo anafanya maamuzi.
 
mambo ya ndani ndio muhimu kuliko ya nje.....
 
Hivi unawezaje kufahamu tabia ya mtu bila kuwa karibu naye? Ukaribu unavutwa na muonekano wa nje...

Anyway labda!!
 
Back
Top Bottom