Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,028 Reaction score 168,647 May 3, 2013 #1
N Neighbor Member Joined Apr 16, 2013 Posts 27 Reaction score 7 May 3, 2013 #2 Weweeee! Usinitishie na vibuyu vyako sikuogopi jombaa!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 3, 2013 #3 Hajui kama jamaa amezaliwa katika familia yenye majini ....
ameline JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 2,292 Reaction score 1,152 May 3, 2013 #4 dawa ya anayejifanya mchawi usimwogope, kuwa jasiri uone.,
kawakama JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,299 Reaction score 391 May 4, 2013 #5 jamaa anapigwa mkwara hapo...anaambiwa pamoja na kihirizi chako sikuogopi
kimeloki JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 2,730 Reaction score 2,848 May 4, 2013 #6 chipo mie chitaki uchaidi
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,491 Reaction score 1,298 May 4, 2013 #7 duh,huyo mwenye kibuyu anafanana sana na bossi wangu
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 May 4, 2013 #8 Dawa ya mchawi ni mupanga tu,wewe chukua mupanga wako kisha anza kuunoa hadharani wala usisema na mtu....
Dawa ya mchawi ni mupanga tu,wewe chukua mupanga wako kisha anza kuunoa hadharani wala usisema na mtu....