Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,638 Reaction score 8,181 Aug 3, 2026 #2 Huyo Heche na hao wengine ni kina nani wafuasi wake?
Dkisaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2018 Posts 1,041 Reaction score 3,107 Aug 3, 2026 #3 Ukweli mchungu. Watz hawana msimamo, hawajui wanataka nini. Lissu na Heche kuna mda unawezadhani wanapoteza mda vile muamko wa wtz ulivyo wa nguvu za soda
Ukweli mchungu. Watz hawana msimamo, hawajui wanataka nini. Lissu na Heche kuna mda unawezadhani wanapoteza mda vile muamko wa wtz ulivyo wa nguvu za soda