Anasema hataki kondomu

Anasema hataki kondomu

Magonjwa mkuu ...cio ukimwi tu ata U.T.I ...usawa huu kuumwa umwa cio poa.
 
Hizi ngono za utotoni ndio madhara yake! Kwa hiyo unaogopa kuitwa baba unatakaje sasa...........wenzio tukikataliwa tunapasulia kwa ndani we unaomba ushauri.
 
Heeeeeh hujui njia ya calender wee askari gani sasa au mwanaume wa aina gani wewe

Maana me naamin kma unampenda demu wako lazima ujue siku zake hasa kma hatumii dawa zozote zile

Nyie ndo mnao pewa mimba zisizo kuwa zenu
Pole sana askari muoga jitahidi ujue bhana
 
Wadau, huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mimi siijui.
Ni kweli condom huleta madhara kiasi kwa baadhi ya wadada kama fangasi ya uke, kuwashwa, UTI, n.k.
Inatakiwa wewe na huyo mtu wako kucheki afya zenu kwanza mjue kama mpo salama. Na pia ujenge utaratibu wa kucheki nae afya zenu mara kwa mara tena kwa vipimo vikubwa ambavyo vinaonesha maambukizi hata ndani ya siku tatu japo ni ghali.
Kwa kufanya hivyo utajiakikishia usalama wa afya yako.
Kuhusu kalenda nenda kaonane na mtaalamu akupe shule vizuri au jamaa yako yeyote mwenye uelewa wa hayo mambo. Kumbuka ni lazima mtu wako akupe taarifa kila mara mzunguko wake unapoanza ili uweze kwenda sawa na kalenda.
 
Back
Top Bottom