Anasema hanitaki lakini haishi kunitumia text

Anasema hanitaki lakini haishi kunitumia text

nilitaka nijue kwanza maana mapenzi ndivyo yalivyo,,sikutaka nikupe ushauri kabla sijajua hili

na vp ukimuomba mkutane somewhere muongee anakataa?
Hilo ndo sijafanya cz kwa kazi zetu tunaonana siku nzima na hata nikijaribu kumweka karibu, anakuwa mkali na kusema kwa sasa sahau hiyo ilikuwa zamani
 
Hilo ndo sijafanya cz kwa kazi zetu tunaonana siku nzima na hata nikijaribu kumweka karibu, anakuwa mkali na kusema kwa sasa sahau hiyo ilikuwa zamani

me naimani huyo ni ndege wako tu, hizo sms anazokutumia ni kama za kipindi mpo pamoja kimahusiano?yan zina maaniasha mapenzi?
 
TAFUTA MWANAMKE ,,MPANGE NAYE DEAL AJIFANYE NI MPENZI WAKO .

ISHI ( sio kumaa naye hom) NAHUYU FEK BABY MAISHA YA UWAZI NAWATu WAJUE KUA NIWAPENZI ,,, KWASABABU ANAKUFATILIA ATAZIPATA HABARI ,,

ALAFU NAWW TAFUTA RAFIKI WAKO WAKIUME PANGA NAYE DEAL ,,AJIFANYE ANAMTUMIA MESEJI AU KUMPGIA KISHA AMWAMBIE IVI """ hellow ( jina LA ako kademu kanakokuzengua) mbn siwaelewi wewe namshikaji ( wewe ) ,,mbn jamaa anataka kumvisha Pete MWANAMKE mwingine kulikoni ??????.

( yan RAFIKI wako anazuga km kumpa ushilawadu ).

Wewe wakati huo humjibu MESEJI wala humpigiii wala usilike comment yake au kuireply ..

UKIONA HAJALI SANA KUHUSU HILO PIGA CHINI KABISAA KATAKUPOTEZEA MUDA NA MIZINGA * YAKIURAFIKI*

NAKAM BADO KANAKUPENDA LKN KANAVUNGA ,NAKUHAKIKISHIA KAMA HATOKUJA NAKILIO HUKU MOYO UNADUNDA SPEED YA MAKOMBORA YA YA URUSI YA ZIRICON MISSILE ......... BASI NAACHANA NA JF.
 
Hilo ndo sijafanya cz kwa kazi zetu tunaonana siku nzima na hata nikijaribu kumweka karibu, anakuwa mkali na kusema kwa sasa sahau hiyo ilikuwa zamani
Nimejaribu kumuona rafiki yake aliye cement mahusiano yetu hapo kabla, ananiambia ye hajui kama tumevurugana na anachoamini binti ananipenda sana so anaamua kunitingisha lakini kiuhalisia iyo hali iliyopo inanipa wasiwasi maana watoto wa mjini hasa wa kike ni pasua kichwa kwenye suala la mapenzi
 
TAFUTA MWANAMKE ,,MPANGE NAYE DEAL AJIFANYE NI MPENZI WAKO .

ISHI NAHUYU FEK BABY MAISHA YA UWAZI NAWATI WAJUE KUA NIWAPENZI ,,, KWASABABU ANAKUFATILIA ATAZIPATA HABARI ,,

ALAFU NAWW TAFUTA RAFIKI WAKO WAKIUME PANGA NAYE DEAL ,,AJIFANYE ANAMTUMIA MESEJI AU KUMPGIA KISHA AMWAMBIE IVI """ hellow ( jina LA ako kademu kanakokuzengua) mbn siwaelewi wewe namshikaji ( wewe ) ,,mbn jamaa anataka kumvisha Pete MWANAMKE mwingine kulikoni ??????.

( yan RAFIKI wako anazuga km kumpa ushilawadu ).

Wewe wakati huo humjibu MESEJI wala humpigiii wala usilike comment yake au kuireply ..

UKIONA HAJALI SANA KUHUSU HILO PIGA CHINI KABISAA KATAKUPOTEZEA MUDA AN MIZINGA ISOKUA * YAKIURAFIKI*

NAKAM BADO KANAKUPENDA LKN KANAVUNGA ,NAKUHAKIKISHIA KAMA HATOKUJA NAKILIO HUKU MOYO UNADUNDA SPEED YA MAKOMBORA YA YA URUSI YA ZIRICON MISSILE ......... BASI NAACHANA NA JF.
Its like you were on my shoes brother, nishapanga kidume kimtokee then napata ubuyu deile ila bado sijapanga kademu ka'kudate in a fake way ili tu neutralize
 
Its like you were on my shoes brother, nishapanga kidume kimtokee then napata ubuyu deile ila bado sijapanga kademu ka'kudate in a fake way ili tu neutralize
Fanya ivo mkuuuu..akili zao hawa nirahisi sana.

Tena HUYO kidume asimtokee kwamaana ya kumtongoza . plz plz ,, anaweza kumtongoza alafu akakubali ( hawa hawana akili ,,itakuumiza wewe tena).

Yaaan mkuu tafuta fake dem wakudate naye.

Mpange RAFIKI yako wadam ambaye nahuyo dem mzwnguaji anamjua ..alafu Fanya ivo tulivuoongea..

NAKUHAKIKISHIA utajua chako kipi nautajua mstari aloopo.
 
Kila binadamu ana u-kichaa wake.
Sasa tumetofautiana kiwango, kuna wengine ni machizi lakini wanavaa fresh na wanakazi zao.
Moja wapo ni huyo msichana wako, hatambui thamani ya penzi na kupendwa pia.
Lakini saazingine na wewe bwana, huenda huwa unaniangusha kwa kiwango cha standard guage muwapo "falaghani", hasa unapokaribia kujipatia goli la mkono.
Inaonesha huwa unailalamikia sana, tena kwa kutoa machozi ukiungama siri zako zote, kuliko unavyoungama dhambi zako juu ya jinsi gani ulivyo fall in love kwake.
Sasa hapo waweza kuta mwenziyo hapotezi network katika hiyo stage kama wewe, anakuwepo anakusanifu na kukung'ong'a ukianza kusurunkuta.
Madhaifu yako hayo ndiyo anayotumia kukutesea, kwa kuwa anajuwa kuwa pigaua hauwezi kuwa na ubavu wa kumuacha, wala ile kuthubutu kumtamkia.
Na ukweli ndiyo huo kwamba hauwezi na ndiyo maana umekimbilia hapa kuomba msaada na faraja wakati uamzi ni wako na ni rahisi sana kutengua uteuzi bila hata ya kuomba ushauri!
 
Habari zenu wana bodi,
Kuna binti nilikuwa na date naye lakini hapa katikati ikatokea kutoelewana na isitoshe tupo ofisi moja, yote ni kwa sababu ya maneno yaliyoibuka ndipo akasema kuwa hataki mahusiàno na Mimi, lakini cha kushangaza haishi kunitumia jumbe mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii hata kwenye simu. Na text zake zote zinafanana kama ilivyokuwa awali wkt bado uhusiano upo on peak.
Hapo mwanzo nimejaribu kumbembeleza arudishe roho nyuma ili tuendelee lakini amebaki kuwa na msimamo uleule na cha kushangaza text anazotuma ni hadi usiku wa manane.

Nashindwa kuelewa msimamo wa huyu binti na mara zote hapo nyuma alikuwa analazimisha nimvishe pete lakini sikuwa nimejipanga na amekuwa mdadisi kwa watu kwa kila hatua ninayopiga mbaya zaidi nikimchomekea turudiane anakuwa mbogo na ameanza hata kuniamkia kitu ambacho hakikuwa kawaida hapo kabla.

Hii hali imeniumiza sana kwani binti amebaki kuwa na msimamo tata na ukweli ni kwamba tulishibana sana hadi coworkers wakawa wanaona wivu na kwa hivi sasa imekuwa kama vile wanashangilia kuona love birds tumetengana.

Naomba ushauri wenu wana jamvi nifanye nini kuepukana na hii hali na labda nimweleze nini ili tuendelee kama zamani.

Nawasilisha!!
Tatizo unaongea sana mipango mingiii utekelezaji hakuna.
Ushauri
Andaa hennessy nanyagi za kutosha.
Mweleze unataka kikao cha usuluhishi na iwe hotel au kwako. Akija acha formula formula.
Uwe muhuni kidogo story nyingi huku ukibambia bila fujo.
Baadae ataachama mbaja, jifanye ujaona, kula mate teremka kisogoni mpaka kwenye mellon. Kisha unahamia mbele kula vuzi km tembele.
Kisha muulize bado ana msimamo gani baada ya kikao.
Akisua sua majibu zamisha kitu.
Onyo.
Mda huo usiwaze wala kukumbuka majeraha ya lissu utaumbuka.
 
Kweli kabisa..
Hiyo inaitwa sitaki nataka. Anataka akuumize tu halafu baadae akurudie. Tangaza una mchumba basi,tafuta hata picha ya demu mmoja mkali weka peofile picha whatsapp andika usingizi wangu iache siku mbili utaona madongo atakayokupa,utasikia mara ooh mzuri mara ooh kumbe ndio wifi hamna lolote roho itakuwa inamuuma na atalia na moyo wake mchana na usiku.

Ila we naee kuwa mwanaume,kaza roho hiyo kwani huyo ndio demu wako wa kwanza,kwani kakukuta bikra???mbona unadharirisha wanaume wenzio we nawe!!!!? Ghkaaa!!!
Hebu jichetue kidogo na yeye aumie then kama unampenda mvalishe hiyo pete hata ukioa 2030 ilimradi pete anayoitaka umempa.
Hapo kwenye profile pc....umenikumbusha mbali
 
Mbona jawabu liko wazi... hataki umrudie na maneno matupu,nenda na pete ya uchumba uone kama atakataa
 
Mkuu imetokea tu, hata mi mwanzo sikuafiki lakini mtoto akawa amekolea bila kujali macho ya watu, lakini nikampa masharti mapenzi yetu yawe nje ya ofisi na hata tukiwa ofisini no body should notice, lakini bahati mbaya mambo yakaanza kuvuja kutokana na ukaribu uliokuwepo ukilinganisha na wafanyakazi wengine, hapo ndo yakaanza maneno!!
achana nae huyo demu atakualibia utendaji kazi wako hapo ofisini. Tafuta demu nje ya ofisi ukiweza oa. Huyo wa ofisini achana nae sababu ya kumwacha ni kwamba hata yeye hakutaki ndio maana anazingua
 
Kweli kabisa..
Hiyo inaitwa sitaki nataka. Anataka akuumize tu halafu baadae akurudie. Tangaza una mchumba basi,tafuta hata picha ya demu mmoja mkali weka peofile picha whatsapp andika usingizi wangu iache siku mbili utaona madongo atakayokupa,utasikia mara ooh mzuri mara ooh kumbe ndio wifi hamna lolote roho itakuwa inamuuma na atalia na moyo wake mchana na usiku.

Ila we naee kuwa mwanaume,kaza roho hiyo kwani huyo ndio demu wako wa kwanza,kwani kakukuta bikra???mbona unadharirisha wanaume wenzio we nawe!!!!? Ghkaaa!!!
Hebu jichetue kidogo na yeye aumie then kama unampenda mvalishe hiyo pete hata ukioa 2030 ilimradi pete anayoitaka umempa.
Aseee nimekupenda bure wallah , eti jichetue kidogo
 
Huyo kuna pimbi anafumua hapo ofisini, chunguza nipe mrejesho
 
Onesha uanaume. Chunia meseji zake, then kwenye ile mipango yako ya kando (huenda wapo) chagua mtoto mkaliiii, tangaza engagement alika colleagues wako wote hapo kazini akiwamo yeye.
 
Try to Ignore her the problem is unaendlea kumfanya ajue kuwa ur still available so atazid kukupeleka puta, kwan akituma msg lazima uzjibu au ndio Mahaba niue Mkuu
 
Kweli kabisa..
Hiyo inaitwa sitaki nataka. Anataka akuumize tu halafu baadae akurudie. Tangaza una mchumba basi,tafuta hata picha ya demu mmoja mkali weka peofile picha whatsapp andika usingizi wangu iache siku mbili utaona madongo atakayokupa,utasikia mara ooh mzuri mara ooh kumbe ndio wifi hamna lolote roho itakuwa inamuuma na atalia na moyo wake mchana na usiku.

Ila we naee kuwa mwanaume,kaza roho hiyo kwani huyo ndio demu wako wa kwanza,kwani kakukuta bikra???mbona unadharirisha wanaume wenzio we nawe!!!!? Ghkaaa!!!
Hebu jichetue kidogo na yeye aumie then kama unampenda mvalishe hiyo pete hata ukioa 2030 ilimradi pete anayoitaka umempa.
Daah hii comment ni ushauri mubasharaa,nimekupenda mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom