Anasema hanitaki lakini haishi kunitumia text

Anasema hanitaki lakini haishi kunitumia text

kitu ambacho ilikuwa ninapambana nacho sana wakati nimeajiriwa ni mapenzi kazini, nilikuwa nimeajiriwa katika shirika flani la ndege kuna watoto wazuri mno na wenye mishahara ya kuaminika na hivyo walikuwa wanatinga pamba kali sana sana lakini sikuwahi hata siku moja ku date mfanyakazi mwenzangu wengine walifikia mpaka kuniita kwa majina machafu, mapenzi kazini yana gharama zake
Umenena mkuu, hapo kabla sikuwahi kudate coworker ila huyu alipofika tu akaniganda iyo dhana ya kukaa nao mbali coworker ndio niliokuwa nayo tangu naanza kazi ila hapa nikaanguka kwa huyu binti na ndo nimekuwa mhanga
kitu ambacho ilikuwa ninapambana nacho sana wakati nimeajiriwa ni mapenzi kazini, nilikuwa nimeajiriwa katika shirika flani la ndege kuna watoto wazuri mno na wenye mishahara ya kuaminika na hivyo walikuwa wanatinga pamba kali sana sana lakini sikuwahi hata siku moja ku date mfanyakazi mwenzangu wengine walifikia mpaka kuniita kwa majina machafu, mapenzi kazini yana gharama zake
 
Anatengeneza mazingira ya wewe kumvalisha pete.

Ukitaka kuamini nenda hata na pete ya matope mwambie Fulani nataka yaishe nikuvalishe pete uone atavyokurukia kwa furahaa.

Njia Ngumu:
1. Usijibu text zake kwa wakati au usijibu kabisa (Haswa zile za after 20:30hrs)
2. Akikusalimia shikamoo itikia marahaba kwa kumshika mkono na tabasamu
3. Ukiona mwanamke mwingine anaekufaa wewe lianzishe tu.

Baada ya muda atakuja kama alieiba mayai
 
Its like you were on my shoes brother, nishapanga kidume kimtokee then napata ubuyu deile ila bado sijapanga kademu ka'kudate in a fake way ili tu neutralize
Amtokee upate ubuyu??? Andaa na mbao za jeneza kabisa.

Hiyo move hovyo sana na mwisho wake mbaya kwako. Usitake kujaribu atongozwe na mshikaji wako. Wakielewana kikaeleweka na unajidai umeoza kwake itakuaje?

Ukiamua kufanya hilo nakushauri sana kaa mbali na
1. Kamba
2. Sumu
 
Hahahhaaaa,, eti hadi ameanza kukuamkia,,mkuu umeniacha hoi asee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hapa unazingua huna maamuzi af unaonekana umependa mpaka hujui cha kufanya..yani unaendeshwa hivi...hembu fanya kuwa na demu hata wa uongo na uweke hata kapicha profile uone,,..jikaze acha kuwa kama under 18
 
Its like you were on my shoes brother, nishapanga kidume kimtokee then napata ubuyu deile ila bado sijapanga kademu ka'kudate in a fake way ili tu neutralize
acha uboya wewe....kuwa mwanaume sio umtafutie kidume a test..ujinga huo unaleta unakuwa kama.....we ndio uwe na demu mwingine
 
Mkuu sijamshauri Rafiki wake amtongoze,, naomba usome hapo vizuri ktk koment yakwanza ,nmemwambia *** mwambie rafiki yako ambaye nadem anamjua ,,huyo rafiki ajifanye km anampa ushilawadu yaaan uongo ,,hapa tunatumia umbeya ili kujua dhamira ya uyo mwanamke ...

Ikiwa rafiki atampgia kisha amwambie **** Marry , unajua siwaelewi wee na Frank ,,, kwan mahusiano yenu yamekuaje ??? Nambona Frank anataka kumvalisha Pete Mwanamke mwingine ???... Bila shaka hapa demu atalipuka sanaaaa.

Nakwakua jamaa anasema wameachana lkn bado kanamtext yaaan kanamuweka njia panda ,, sasa hapo demu atafanya moja kati ya hili....

1---- demu anaweza asijali sana kuhusu jamaa kumvalisha Pete mwanamke mwingine...nahapo ndo jamaaa atajua nikweli kanampotezea MUDA nakutaka kampige mizinga.

2---- demu apagawe atembeee haraka amtafute jamaa kuhoji izo habar lkn pia kuomba msamaha warudiane amvishe Pete.......hapo ndo jamaa atajua kumbe kanamhitaji lkn kanajifanya tuuu.




SIJAMSHAURI AMWAMBIE RAFIKI AMTONGOZE ,,SIJAMSHAURI AFANYE KITU KITAKACHOMUATHIRI ....EMBU TAFUTA KOMENT YANGU YA KWANZA NILOMSHAURI UTAIELEWA ZAIDI.
MWANAUME KAMILI HAINGILII MAHUSIANO YA WATU ETI ANAMPA DEMU AU ANACHUKUA USHILAWADU KWA DEMU ETI ANAJIDAI HAWAELEWI SIKU HIZI YEYE NA JAMAA WAKE HIZO TABIA ZA KI,NANILII WALE WALIOKATAZWA JIJI LA DAR...AU WALE WALIOKAMATWA PEACKOK TABIA ZA KICHOKO..HAKUNA CHA USHILAWADU MI NAMAINDI SANA MOVE HAZIELEWEKI....AFANYE KWELI SIO ANAHANGAIKA AF ATAKUWAJE NA KADEMU KAMOJA TU HAKO NDIO MAANA ANBABAIKA...
 
Fanyia kazi ushauri wa maserati, hata mimi ma staki nataka nawafanyiaga hivyo wanaumiaaa baadae wanarudi. Hawa viumbe sometimes tuwe tunawaweka kwenye competition.
 
Kweli kabisa..
Hiyo inaitwa sitaki nataka. Anataka akuumize tu halafu baadae akurudie. Tangaza una mchumba basi,tafuta hata picha ya demu mmoja mkali weka peofile picha whatsapp andika usingizi wangu iache siku mbili utaona madongo atakayokupa,utasikia mara ooh mzuri mara ooh kumbe ndio wifi hamna lolote roho itakuwa inamuuma na atalia na moyo wake mchana na usiku.

Ila we naee kuwa mwanaume,kaza roho hiyo kwani huyo ndio demu wako wa kwanza,kwani kakukuta bikra???mbona unadharirisha wanaume wenzio we nawe!!!!? Ghkaaa!!!
Hebu jichetue kidogo na yeye aumie then kama unampenda mvalishe hiyo pete hata ukioa 2030 ilimradi pete anayoitaka umempa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wee unasema!!! Amtafte mcchana mwengne alaf apretend anadat nae huyo mcchana nae akimpenda qeli iv wawajua wanawake au unawackia tu[emoji23][emoji39][emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anaweza kolea mazima
 
Sio roho mbaya mkuu.

Sisi wanawake kuna muda tunakuwa sitaki nataka.

Sasa akishasikia hivyo anaweza kutangulia home kwa jamaa bila kuambiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uzinzi haikuwahi kumuacha mtu salama mkuu.

Hapo ni guilty consciouss ndo inamtafuna huyo binti.
Amezini na wewe hadharani na co workers wanawaona mkizini.

Mkitenda dhambi.

So binti kaamua kujitoa ili wewe(kipofu usiefikiri vizuri) umuongoze muondokane na dhambi hiyo.
Fuata hatua za kuhalalisha kuwa nae ili umuondolee hiyo aibu. Hawezi kukwambia 'nioe' au 'nenda kwa wazazi'. Hayo maamuzi inabidi uyafanye wewe.

Fuata hatua...muondolee binti huyo aibu.mmeshazini imetosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom