Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
HahahhahahahahhhaaAfu jamaa kaandika kwa uchungu hahaaaah
HahahhahahahahhhaaAfu jamaa kaandika kwa uchungu hahaaaah
Hapo ndo dawa itakua imepatikana,hawa wasichana wetu wanakera sana,Acha kujipa presha bure...Achana nae na block mawasiliano nae
Hapo kwenye profile pc....umenikumbusha mbali![]()
![]()
jomonii. Wapi huko tuambizane sasa

Nmepata kitu#Maserati.Kweli kabisa..
Hiyo inaitwa sitaki nataka. Anataka akuumize tu halafu baadae akurudie. Tangaza una mchumba basi,tafuta hata picha ya demu mmoja mkali weka peofile picha whatsapp andika usingizi wangu iache siku mbili utaona madongo atakayokupa,utasikia mara ooh mzuri mara ooh kumbe ndio wifi hamna lolote roho itakuwa inamuuma na atalia na moyo wake mchana na usiku.
Ila we naee kuwa mwanaume,kaza roho hiyo kwani huyo ndio demu wako wa kwanza,kwani kakukuta bikra???mbona unadharirisha wanaume wenzio we nawe!!!!? Ghkaaa!!!
Hebu jichetue kidogo na yeye aumie then kama unampenda mvalishe hiyo pete hata ukioa 2030 ilimradi pete anayoitaka umempa.
Tangaza ofisini kwenu umepata mchumba upo kwenye process za kuoa
Mkuu sijamshauri Rafiki wake amtongoze,, naomba usome hapo vizuri ktk koment yakwanza ,nmemwambia *** mwambie rafiki yako ambaye nadem anamjua ,,huyo rafiki ajifanye km anampa ushilawadu yaaan uongo ,,hapa tunatumia umbeya ili kujua dhamira ya uyo mwanamke ...Oya mwanangu me post zako nyingi nazikubali lakini katika hili mkuu unampotosha. Unaona hata wewe mwenyewe unaanza kupata mashaka, rafiki yake wa damu sio? Usiniambie na wewe msemo mdogo wa "Kikulacho kinguoni mwako" umekupita
cc kapeace
Raha ya exhaust moshi mkuuHabari zenu wana bodi,
Kuna binti nilikuwa na date naye lakini hapa katikati ikatokea kutoelewana na isitoshe tupo ofisi moja, yote ni kwa sababu ya maneno yaliyoibuka ndipo akasema kuwa hataki mahusiàno na Mimi, lakini cha kushangaza haishi kunitumia jumbe mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii hata kwenye simu. Na text zake zote zinafanana kama ilivyokuwa awali wkt bado uhusiano upo on peak.
Hapo mwanzo nimejaribu kumbembeleza arudishe roho nyuma ili tuendelee lakini amebaki kuwa na msimamo uleule na cha kushangaza text anazotuma ni hadi usiku wa manane.
Nashindwa kuelewa msimamo wa huyu binti na mara zote hapo nyuma alikuwa analazimisha nimvishe pete lakini sikuwa nimejipanga na amekuwa mdadisi kwa watu kwa kila hatua ninayopiga mbaya zaidi nikimchomekea turudiane anakuwa mbogo na ameanza hata kuniamkia kitu ambacho hakikuwa kawaida hapo kabla.
Hii hali imeniumiza sana kwani binti amebaki kuwa na msimamo tata na ukweli ni kwamba tulishibana sana hadi coworkers wakawa wanaona wivu na kwa hivi sasa imekuwa kama vile wanashangilia kuona love birds tumetengana.
Naomba ushauri wenu wana jamvi nifanye nini kuepukana na hii hali na labda nimweleze nini ili tuendelee kama zamani.
Nawasilisha!!
Teh teh teh. Jamani nyie! Hivi humu jf pakoje?Tatizo unaongea sana mipango mingiii utekelezaji hakuna.
Ushauri
Andaa hennessy nanyagi za kutosha.
Mweleze unataka kikao cha usuluhishi na iwe hotel au kwako. Akija acha formula formula.
Uwe muhuni kidogo story nyingi huku ukibambia bila fujo.
Baadae ataachama mbaja, jifanye ujaona, kula mate teremka kisogoni mpaka kwenye mellon. Kisha unahamia mbele kula vuzi km tembele.
Kisha muulize bado ana msimamo gani baada ya kikao.
Akisua sua majibu zamisha kitu.
Onyo.
Mda huo usiwaze wala kukumbuka majeraha ya lissu utaumbuka.
Sasa kuchechemea ndio kuridhisha?? Poor TanzanianKatika mashine najiamini cz sina historia ya kuwaacha juujuu, ikifika asubuhi alikuwa anachechemea kwa shughuli ya jana yake

Nmepata kitu#Maserati.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
"Usingizi wangu" (in maserati voice)











sasa mtateseka au kutesana tesana mpaka lini???Nihadithieeee bathii au utanihadithia katika night shift yetu kule...![]()
![]()
utanicheka buana.
![]()
![]()