Anasema hanitaki lakini haishi kunitumia text

Anasema hanitaki lakini haishi kunitumia text

Mkuu imetokea tu, hata mi mwanzo sikuafiki lakini mtoto akawa amekolea bila kujali macho ya watu, lakini nikampa masharti mapenzi yetu yawe nje ya ofisi na hata tukiwa ofisini no body should notice, lakini bahati mbaya mambo yakaanza kuvuja kutokana na ukaribu uliokuwepo ukilinganisha na wafanyakazi wengine, hapo ndo yakaanza maneno!!
Mkuu wewe ni mtu mzima maana yake unapewa shkamoo LAKINI cha ajabu kamsemo kadogo tu cha "penzi ni kikohozi kulificha hauwezi" kamekupita??
 
TAFUTA MWANAMKE ,,MPANGE NAYE DEAL AJIFANYE NI MPENZI WAKO .

ISHI ( sio kumaa naye hom) NAHUYU FEK BABY MAISHA YA UWAZI NAWATu WAJUE KUA NIWAPENZI ,,, KWASABABU ANAKUFATILIA ATAZIPATA HABARI ,,

ALAFU NAWW TAFUTA RAFIKI WAKO WAKIUME PANGA NAYE DEAL ,,AJIFANYE ANAMTUMIA MESEJI AU KUMPGIA KISHA AMWAMBIE IVI """ hellow ( jina LA ako kademu kanakokuzengua) mbn siwaelewi wewe namshikaji ( wewe ) ,,mbn jamaa anataka kumvisha Pete MWANAMKE mwingine kulikoni ??????.

( yan RAFIKI wako anazuga km kumpa ushilawadu ).

Wewe wakati huo humjibu MESEJI wala humpigiii wala usilike comment yake au kuireply ..




UKIONA HAJALI SANA KUHUSU HILO PIGA CHINI KABISAA KATAKUPOTEZEA MUDA NA MIZINGA * YAKIURAFIKI*

NAKAM BADO KANAKUPENDA LKN KANAVUNGA ,NAKUHAKIKISHIA KAMA HATOKUJA NAKILIO HUKU MOYO UNADUNDA SPEED YA MAKOMBORA YA YA URUSI YA ZIRICON MISSILE ......... BASI NAACHANA NA JF.
Mkuu hii post yako nahisi unampotosha jamaa, unawajua vijana wa mjini unawaskia??? Naomba huyo mwanamme wa kumpa namba ya demu wake niwe mimi. Me ntamsaidia kumuuliza hayo maswali demu wake halafu aone kama hatokuta manyoya.
 
Its like you were on my shoes brother, nishapanga kidume kimtokee then napata ubuyu deile ila bado sijapanga kademu ka'kudate in a fake way ili tu neutralize
Oya wewe mtu mzima (umepewa shkamoo) lakini kila nkiendelea kusoma post zako unanichosha ujue, huyo mshakji atamla huyo demu shauri yako. Aminianeni juu ya kila kitu sio demu. Kama vipi kwa vile me hunijui nipe namba ya huyo demu siwezi mtokea wala nini nampigia na kumpanga fresh ili asikuzingue
 
Kufikia kutengeneza bomu la nukilia kwa hapa bongo sijui itakuwa lini, kama ubongo kama huu umeshindwa hata kutatua tatizo dogo kama hili linaletwa whatsapp
Hapa JF mkuu japoo nakubaliana na wewe kwamba hii ishu ni ndogo sana ya kuletewa GREAT THINKERS
 
Fanya ivo mkuuuu..akili zao hawa nirahisi sana.


Tena HUYO kidume asimtokee kwamaana ya kumtongoza . plz plz ,, anaweza kumtongoza alafu akakubali ( hawa hawana akili ,,itakuumiza wewe tena).

Yaaan mkuu tafuta fake dem wakudate naye.

Mpange RAFIKI yako wadam ambaye nahuyo dem mzwnguaji anamjua ..alafu Fanya ivo tulivuoongea..


NAKUHAKIKISHIA utajua chako kipi nautajua mstari aloopo.
Oya mwanangu me post zako nyingi nazikubali lakini katika hili mkuu unampotosha. Unaona hata wewe mwenyewe unaanza kupata mashaka, rafiki yake wa damu sio? Usiniambie na wewe msemo mdogo wa "Kikulacho kinguoni mwako" umekupita

cc kapeace
 
Halafu huyo anaebandua kudaadeki anavyoikamatia chini sasa. Aisee huyu mshkaji namuonea huruma sana
Hahaaah we umejuaje Kama anaikamatia kwa chini? Isije ikawa we ndo unamfumulia mshikaji goma lake hahaaah
 
Hahaaah we umejuaje Kama anaikamatia kwa chini? Isije ikawa we ndo unamfumulia mshikaji goma lake hahaaah
Hahhahahahahahahahahaha kudaadek zako Norshad, hahahahahahahahhaha! mwanangu unantupia gunia la uharo ninuke sio??? hahahahahhaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom