Anasema bikra | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anasema bikra

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Soulbrother, Jan 20, 2010.

 1. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jana rafiki yangu, niliyesoma naye kijijini, amekuja na mchumba wake kunitembelea.

  Kabla hajafika alinipigia kuniambia kuwa mchumba ni bikra, anasubiri mpaka "wedding night" na nikampa hongera zake.

  Wamefika jana jioni,nimewafuata ubungo na nikabaki mdomo wazi. mchumba ni demu niliyekuwa namega long time nikiwa shule na mimi mwenyewe nilikuta hamna bikra enzi zile.

  Demu amejifanya hanijui na tulipofika home, wameomba kulala vyumba tofauti.


  My friend yuko excited anataka kumtambulisha kwao aanze process. Nimewaacha home leo nikiwa na wasiwasi. Nimwambie au niuchune?
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Chuna tu huenda kaitengeneza ya kichina ! ukimwambia halafu akamwingilia na kukuta ya kichina utazua ugomvi
   
 3. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo kiboko mkuu. Wewe kauka tu,akishammega atakupa feedback.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du...hii hata kama ni ya kuchonga, umeiweka vizuri sana,,,nimeipenda mbaya!
  Aisee, waheshimu sana, wala usijaribu kumsemesha huyo demu.

  Shida itakuja kama kuna jamaa wanaojua kwamba ulikuwa unamega, watampa ishu jamaa!
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa wewe tatizo lako ni nini??
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tafuta nafasii mwambie demu mkumbushie ukimaliza tulia tu!!
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,045
  Likes Received: 24,043
  Trophy Points: 280
  Dah! Huyo demu noma. Kama amejifanya basi ana lake jambo. Hebu omba kukumbushia usikie atasemaje. Then you can start fro there.
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  why all this hypocricy? i mean why?
   
 9. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Weweee! Kama ametengeneza ya kichina si ndo ataharibu kabisaaa! Kwanza keshajifanya hamjui!
   
 10. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Maadam jamaa kafika bei, usiwaharibie mood. Waache tu waendelee na process za kuoana. Labda huyo dada ameabstain muda mrefu mpaka bikra imerudi
   
 11. Guyana Halima

  Guyana Halima Member

  #11
  Jan 20, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo binti shida yake ndoa!! Na anaonekana muongo sana!! Kama anaweza kudanganya hilo ambalo anajua linaweza kugundulika mengine je!!!? Achana nae, njia ya moungo fupi!!
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Tusamehe tu carmel. wengine wetu bado bado kidogo tunedumisha 'mila'
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Kwa huyo mchumba kuanza kusema uongo sio dalili njema kwa rafiki yako. Mshauri (bila kuonesha wasiwasi na hiyo bikra) rafiki yako kwa upendo kabisa aende taratibu inawezekana kuna mengi yanafichwa!

   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  kaka kaa kimya.
  ni wageni wako
  peingine kweli amekusahau maana hawa watu huwa hawakawii kusahau
  watreat vizuri kaka, watoe na out ikibid

  rafiki yako amependa, watu hubadilika.
   
 15. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahahahahahahaha....usitupe boga na ua lake....jikumbushe tu halafu uchune!
   
 16. Kionambele

  Kionambele JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkubwa kwani wewe kwenye hili unahusika vipi?

  Ninamaanisha kuwa dawa ya mtu anayetaka bikra wakati yeye mwenyewe si bikra ni kupewa made in China back streets.

  Halafu kwani unataka bikra ili iweje? Ndo hawa wanaobaka watoto wadogo kusaka kijishimo cha tundu la sindano, kwani karungu kako ni vipi? au saizi ya tooth pick nini? Ukishapiga ukakuta chubwi chubwi utaomba back door si ndo hivyo. Kweli uhayawani umeongezeka sana duniani.

  Na ubikira hauna uhusiano kabisa na tabia njema shauri yako. Siku hizi zama za Mchina hata Kibibi gula anaweza kutengeneza tu.

  Unataka bikira ya nini? Hujui hata uarabuni na uhindini wanakuta bikira ipo lakini kumbe ni ya upande mmoja na wanapigwa changa la macho bila kujua? YETU MACHO!
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Good obeservation!
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli lakini HAYAKUHUSU!
   
 19. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wewe kaaa kimya dont try kusema kwa huyo rafiki yako kuwa thats a hole. Kaa kimya kama vile hujui kitu. Hii ni kwa usalama wako na mahusiano ya hao wenzako. Ila sasaa sio uendelee kumtafuna huyo shemeji yako maana unaweza kutumia hicho kigezo kuomba incrementalism ya game
   
 20. N

  Nanu JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Walipokutana haukuwepo, wala rafikio hajakuomba maoni, sasa kimbelembele cha nini? Achana nao waendelee na ya kwao. Wala usitake kukumbushana na yule demu wala usimsomgelee maana ulishamaliza wakati wako. Mara nyingi mwizi anayedakwa au kuuawa ni yule anayerudi kwenye nyumba tena wakati wenzake wametoka na kuondoka.
   
Loading...