Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
Nikifikiria sipati picha.
Huyu mwanamke wangu wakati wakushiriki tendo la ndoa anasema anapenda kua slave, na pia anapenda nimfanye slave mara kwa mara ila kwasasa naona nimuache tuu kwani naona anapenda mambo ya kwenye video sana.
Yani wakati wa tendo anataka nimfunge kamba mikono na miguu, yani niwe kama nam'baka, huyu mwanamke huyu.
Muda mwingine anataka nisimvue nguo yake ya ndani, anataka nimshike tuu nitumie nguvu nimfunge kamba then nimchanie nguo yake ya ndani ndo shughuli ianze, pia kuzama uvinza nizame wakati nimemfunga kamba mikono na miguu.
Nyie wanawake wa style hii mnaenjoy nini?
Maana najiona sasa kama nimekuwa m'bakaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu mwache mara moja kisha nipe namba yake ya simu na zawaidi nitakupa sasa hivi.