Anapiga sana makelele wakati wa tendo la ndoa

Yaani dada wa watu anasikilizia utamu wa tendo wewe unaona kero. Kila mmoja ana namna yake ya kurespond anapokunwa vyema.
Kutoa miguno ya mahaba sio kelele.
Kelele ni sauti zisizo na mpangilio miguno na kilio cha mahaba kina mpangilio kama upo makini wakati anatoa hiyo miguno.
Kama unakwenda kwa spidi utagundua kuwa anatoa sauti haraka haraka,ukipunguza spidi pia anapunguza speed.
Anapokaribia kufika lazima atakuwa ana punguza kama injini ya gari unapobadilisha gear.

Note: Hizo sio kelele ni mwitikio wa mkeo kwa vile anavyojisikia.
Jipange ukae mahali ambapo atakuwa huru kutoa sauti.
Anakwambia hata majiran huwa wanadhani anampiga so itakuwa sio miguno ni mikelele.
 
mwizi na mshamba tu huyo
tena majirani zako wanakuchora wanakuona umeoa malaya
maana malaya ndo wana kawaida hiyo
 
Nimeoa muda si mrefu binti wa kitanga.

Toka tupo kwenye uchumba alikuwa na tabia ya kulia kwa sauti wakati wa tendo la ndoa.
Nilikaa naye nikamwambia hii tabia ya kulia wakati wa tendo siyo nzuri maana tukiishi kwenye nyumba ya kupanga utawakera watu .

Akahaidi ataiacha nikimuoa. Sasa tuna miezi minne tu tunaishi kwenye nyumba ya kupanga lakini yeye ndiyo kelele zimeongezeka hadi majirani wanalalamika wanahisi mimi labda nampiga.

Nikiongeza sauti ya subwoofer au TV na yeye anazidi kupaza sauti. Nafikiria nimwache ila bado nawaza maana ana mimba ya miezi miwili.
Kuna mtu alikulazimisha kuoa mwanamke mwenye imani na CCM?
 
Nimemiss kupiga chabo na kusikiliza watu waki kwichi......
Nimetamani mngekua jirani zangu, ningenenepa
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kuna Masking tape. Mpachike kwa mdomo kabla ya zoezi kuanza. Hilo ndio suluhisho la tatizo lako.
 
Hahaahaaaha nawapenda sana hao ,kuna kangu nilikapiga kiutani asee hadi Leo tuko pamoja
 
Sasa unataka kimyakimya? Binafsi mke wangu akiwa kimya huwa ninaahirisha kwanza
 
Hana lolote Hashuo tuu, asitukanishe watanga, kwa raha gani mpaka afungue mdomo to that extend? wakati alishaanza kuusikilizia kabla,mwambie ivi somo yake hakumfundisha kelele zinakua na limit sio za kuku put off?
Umenena sawa sawa, wanawake wa namna hii bila shaka hawakufundwa, sitashangaa kama atakua na tabia ya kutoa mambo yake ya ndani kwa majirani
 
Huyo mwanamke wako ukiwa unashiriki nae tendo akianza tu kelele mzabue Kofi na mchezo uishie hapo
 
Nunua sound anbsorber. Kama Bongo hakuna ni PM nikitumie kulingana na hitaji lako.
 
FB_20170409_13_41_35_Saved_Picture.jpg

Mwambie aje kwenye clinic kwetu tumchunguze kisayansi,utaona hilo gegedo then utakua umefika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom