Anaonewa Wivu Na Wanaume Wengi Nchini Australia

Acha waone wivu coz the guy is living a fantasy, afu cheki watoto walivyo wasupuu dah! Ni pleasure all the way......
 
Kesho asubuhi naanza kula pushup!
Yap na mimi nitaanza kula hizo kitu, nasikia ni tamu sana, hivi si zinapatika hata mlimani city na Nakumat? alfu ukizila asubuhi nipoa ee?maana nasikia zina uchachu kwa mbaaaaali, lakini powa tu.
 
hahaha jf ni vituko
 
Ina maana anawambato wote, daah bahati iliyoje unanunua kimoja unaongezewa na kingine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom