SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Bwana Ben Byrne fundi umeme mwenye miaka 31 ni gumzo kubwa nchini Australia kwa sababu anapendwa sana na mabinti wawili mapacha, Anna na Lucy.
Kwa mujibu wa jarida liitwalo Woman's Day, wadada hao wamefika hatua ya kumkaribisha Ben nyumbani kwao na kulala naye kitanda kimoja.
"Ni kazi ngumu kuwaridhisha wote" anasema Ben na kuongeza:"Unachomfanyia mmoja lazima ufanye kwa mwingine, na inachosha ila najitahidi"
"Tunashukuru, Ben ni 100% fit" anasema mmoja wa mapacha hao.

Mazoezi yanamfanya Ben kuwa fit muda wote.
Habari na picha kwa hisani ya Jarida la Woman's Day.