Foxhunters
Senior Member
- Nov 25, 2019
- 166
- 110
Duh[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Salamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
Kwahiyo hapo anaweza kuendelea maana kwenye ARIS wamemwandikia discontinueBinafsi namshauri akomae na chuo, ikiwa atakuwa ni Mtu wa kukata tamaa kila anaposhimdwa kufanikisha Jambo fulani hata kwenye hayo maisha mengine hawezi kutoboa. Hakuna kukata tamaa ajifunze anapoanguka ajikung'ute vumbi asonge mbele na sio kuahirisha safari.
hapo hana chuoKwahiyo hapo anaweza kuendelea maana kwenye ARIS wamemwandikia discontinue
Hakuna mtihani wa special ili kuongezea hiyo GPAMpaka hapo kesha disco tayari! Kuingia second yr inatakiwa awe na gpa ya kuanzia 2.0 au zaidi!
Kufanya supplementary exam ilibidi awe atlest na gpa ya 1.8Hakuna mtihani wa special ili kuongezea hiyo GPA
Anawezaje kuwepo chuon na hiyo GPA, ni chuo gani.
Labda afanye application ya mwaka huu hii round ya pili ajipange upya, ata perform vizur baada ya fundisho
Pole yake! Mwambie kufeli chuo sio kufeli maisha!MUCE
Na HESLB watadai chao??Pole yake! Mwambie kufeli chuo sio kufeli maisha!
Lakini si aja disco mchawi kudisco tuSalamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
Amedisco kwa mwaka wa kwanzaLakini si aja disco mchawi kudisco tu
-Amwambie tu tu aanze kula chakula vizur na kufanya mazoezi[emoji16]. Asione kama huo ndo mwisho wa maisha, hapana maisha bado yanaendelea.Pole yake! Mwambie kufeli chuo sio kufeli maisha!