Julieth amemwomba Patriot waonane Pasaka Jijin Ar! Gharama za usafiri Malaza, chakula Bint atagharamia!
Je unamshauri nini Kijana Patriot juu ya jambo hli? Je aende au apotezee? Je Kunauwezekano wakaona?[/QUOTE]
Badala ya kumshauri Patriot, ninakushauri wewe kwa inawezekana Patriot ukawa wewe, na ikiwa siwe, mpelekee Patriot ujumbe huu:
1. Majini na vibwengo haviingii kwenye mtandao. Julieth ni mtu.
2. Hapo nyekundu, ikiwa ataamua kwenda AR, achukuwe nauli na gharama nyengine za kujikimu za kutosha, just in case.