Anaomba nizae nae

Anaomba nizae nae

Kuna watu wanatoa ushauri kama wanayajua sn maisha
 
Acha uwoga wa maisha ww kila mtoto anakuja na riziki yake!!
Zama hizi za NHIF imara na elimu bure plus bodi ya mikopo imara tunaona yanawezekana kwa kuwakazania wasome mpaka form six,tutafakari ya mbele hivi vyombo vikiishiwa nguvu itakuwaje?
 
Kwani riziki inategemea vitu hivyo!?!
 
Kwakuwa una huruma binafsi sijaona haja wewe kuja jukwaani kuomba ushauri,cha msingi kama uliwahurumia wanne endelea na kuendelea kuwaonea huruma mkuu.

Kuhusu kueleweka nyumbani inategemea na akili pamoja na mazingira ya huyo ulie naye kwa sasa,ila asilimia kubwa hakuna mwanamke anaependa kuchangia mume.
 
Hao watatu waliotangulia kila mtu na story yake,ila huyu mmoja ni mke wangu naishi nae.
 
mwanaume mzima huwezi omba mssada kwa jambo kam hili.
ww ni mvulana
Kizazi chetu hatujapitia jando la wa wazee wa koo zetu,tumekuwa na mitandao tu plus vijiwe vya kubrush viatu.
Sijui kidini,kitamaduni na kisaikolojia ya mahusiano limekaaje kwani naona kwa wazee wetu haikuwaga issue,ila leo hii ipoje haswa kwa wanawake kutaka 50% kwa 50% ,migawanyo ya mali huko mbeleni nikifa.
 
Naona Wee na Yule jamaa mwenye kampuni ya Kugawa manii lenu ni moja tu...(Kula mbunye za bure)

Ktk kutafakar nikajiuliza
Mchepuko wako nikweli unakazi? Kama ndio. Nikweli mpaka Umri unamruka bila kupata mimba hata km hajawah olewa?Kama ndio. Ana kitu gani ambacho kilimfanya Awe ivo miaka yote hiyo?.Kama hakipo, Inakuaje Aje leo kuzaa na mchepuko aliye mume wa mtu?Kama ni upendo.. Inamaana wewe ndo umemtoa bikra ?kama ni hapana..Kwann hakuwah kuzaa na bwanake wakwanza ,,wapili,watatu ,wanne ,wasita mpaka wewe wasaba?? Au alikua anachagua? Inamaana kachaguaaaaa hatimaye kaona wee mwenye mke ndo unaweza mzalisha.

Nikajikuta nafikia hapa km hitimisho, Kwakua umedai una watoto wanne na kila mmoja ana mama yake tena kua Huyu ni mchepuko wako , namwisho umesema, unawaza umwambie mkeo kua na 'huyu naye anataka mtoto', utakubaliana namimi kua ULIPASWA ULIPIE TANGAZO LAKO!!!.
Duh,umesema mengi sana,ila uhalisia ndio huo,muuza mbegu si ningesema nauza kwa wenye shida.
Kwa imani yangu unauza kitu ya Mungu amenibaliki.
Kuna kauli mjini wanasema mwanamke akimtaka mwanaume hamkosi au hamshindwi,basi ndilo linalonikuta.
 
Aiseeee basi Upo katika mtihani wenye faida .. Ila kwakua Ametaka nwenyewe mzalishe kwa gharama yako mwenyewe.

Mpe mtoto mkuu!!
 
Naona Wee na Yule jamaa mwenye kampuni ya Kugawa manii lenu ni moja tu...(Kula mbunye za bure)

Ktk kutafakar nikajiuliza
Mchepuko wako nikweli unakazi? Kama ndio. Nikweli mpaka Umri unamruka bila kupata mimba hata km hajawah olewa?Kama ndio. Ana kitu gani ambacho kilimfanya Awe ivo miaka yote hiyo?.Kama hakipo, Inakuaje Aje leo kuzaa na mchepuko aliye mume wa mtu?Kama ni upendo.. Inamaana wewe ndo umemtoa bikra ?kama ni hapana..Kwann hakuwah kuzaa na bwanake wakwanza ,,wapili,watatu ,wanne ,wasita mpaka wewe wasaba?? Au alikua anachagua? Inamaana kachaguaaaaa hatimaye kaona wee mwenye mke ndo unaweza mzalisha.

Nikajikuta nafikia hapa km hitimisho, Kwakua umedai una watoto wanne na kila mmoja ana mama yake tena kua Huyu ni mchepuko wako , namwisho umesema, unawaza umwambie mkeo kua na 'huyu naye anataka mtoto', utakubaliana namimi kua ULIPASWA ULIPIE TANGAZO LAKO!!!.
Kaka umemaliza. Maana hawa wadada wanaokwambia kuwa wanataka wakuzalie huwa wana tatizo au wana presha kutoka kwa ndugu au marafiki.
Si vizuri ukamjaza kweli maana kibao kitakugeukia mbeleni upate shidah
 
AHSANTE ,ILA napendaga caze study zao nizielewe .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom