Ananivurugia mipango yangu

Mkuu unaifahamu ban kweli?
 
Acha upopoma wewe , huyo yuko after money wewe endelea tu kumjibu kiupole ati ulimpenda sana ukimpa chance tu atapukutisha biashara yako ndo utapata akili.
 
Yawezekana baada ya wewe kumuacha, alipata mtu mwingine ambapo pengine ameachwa kwa sasa au amesikia mafanikio yako hivyo anajirudi baada ya wewe kupata pesa. Piga chini,tafuta mwingine
 
Tabia ya wadada kulowa huko chini mkiona hela acheni![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Wengi wapo hivyo (kama sio wote), wewe amua moja tu, kama unasukuma ndani au unafyekelea mbali. Ila hata utakayempata naye ukiyumba itakuwa hivyo hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…