Ananivurugia mipango yangu

Ingekuwa ni mimi ningemla a.k.a send off

Then kiroho chafu namfungia vioo
 
Kama akikutumia msg tu unapoteza hadi concentration basi bado unampenda huyo binti, sikiliza moyo wako.
 
Thanks guys....nmejifunza something...!!sitaruhusu aniletee upuuzi....acha nikaze kamba!!
 
Thanks guys....nmejifunza something...!!sitaruhusu aniletee upuuzi....acha nikaze kamba!!
Usimjibu mbovu yeyote, wewe block namba zake kisha futa zote ilimradi usione jina lake ukifungua contact. Ili umsahau vizuri. Ukimaliza wewe dili na maisha yako, ukiwa ushakata mawasiliano naye
 
Hahahahaaaaa...., ila wanawake kweli akili zao moja yani huwa hawasikii raha wakiona mwanaume kamove on yani huwa wanakereketwa kiseng*, mimi namchora tu . The same old story
 
Mle tigo
 
Mkuu kwani unateseka..!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwani unateseka..!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ah..mm tu huwa nina chuki sana na mtu yeyote anaenikimbia kpnd cha shida hlf baadae mambo yako sawa anarudisha matako yake yaani awe rafiki,ndugu ama mpenzi alhamdulillah nawanyoosha saa hz bc roho yng burdaaaan!
 
1.Watu wengi hawapendi shida ukiona mtu anavumilia shida (ujue ni kwasabubu ya ukomavu wa akili,upendo,moyo wa uvumilivu,utu wema na maadili) tofauti na hapo wengi hukimbia (hatakama wanakupenda)

Ipo mifano mingi ya wazazi,wapenzi,ndugu,jamaa na marafiki kuwakimbia wapendwa wao wakati wa shida na badae mambo yakiwa shwari hurudi(hii ni hulka ya binadamu wengi sana!!!)

2.Msamehe huyo mdada.

3.Kama bado unamhitaji mfundishe awe kama unavyotaka.

4.Akikushinda MWAMBIE UKWELI(MUACHANE KWA AMANI)

5.Ukimpemda mtu uwe tayari kwa wema na ubaya wake (binadamu ndivyo tulivyo)
Kila mtu anapande mbili.Hata wanaonukia sanaaaa kuna mda huwa wanajamba!!
HUO NDO UBINADAM KUWA MAKINI
 
Kitu nlichogundua jamaa bado linampenda boya sana hili lijamaa ni limbukeni la mapenzi
 
Sometimes it's better to make decisions with your brain..and not your heart!!
 
Ah..mm tu huwa nina chuki sana na mtu yeyote anaenikimbia kpnd cha shida hlf baadae mambo yako sawa anarudisha matako yake yaani awe rafiki,ndugu ama mpenzi alhamdulillah nawanyoosha saa hz bc roho yng burdaaaan!
Kwahiyo na yeye afanye kama wewe..?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…