Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Vip mamake upo mwanza kwani..[emoji6] [emoji6]Cc naantombe Mushi [emoji125] [emoji125]
Nlikuwa huku kwa BashiteKabla ya kufika mwanza umetekea mkoa gani??
Acha kutuaibisha wanaume wa huku kwa bashite.Nlikuwa huku kwa Bashite
Ukhuty sikuone kule group letu la whatsaapCc naantombe Mushi [emoji125] [emoji125]
Naantombe....MushiNlikuwa huku kwa Bashite
Ww ndo umesusa kuja kule mahal hupatikanUkhuty sikuone kule group letu la whatsaap
msalimie "naantombe mushi"
Si hivo mkuu, tatizo manzi anaongea sana mpaka nikasanda..Acha kutuaibisha wanaume wa huku kwa bashite.
Au umezoea Hawa wapenda pesa.....
Hata hivo nimemshit.. Mwanamke akishakuwa mjanja mjanja sana ananipa uoga.. Amenifanya nifikiri mambo mengine kabisa..Anamaanisha kuwa makini yeye ni level nyingine either ni fundi sana kunako six kwa six au ana bwana hatari akijua mchezo wenu hutaiona buzuruga stand,nyegezi stand au ilemela airport be careful sana