janjaweed toa iyo K hapo mwanzo...
naomba kutambua jinsia yako...
Na wewe mtekenye kwenye makwapa .
ww na huyo dada mnapoteza muda huo muda wa kupeana mikono mngekuwa mnafanya kazi za kuingiza pesa
Bagah mara hii jimama lakutekenya mkono, yule demu wako aliyeliwa na mtengeneza kucha imekuwaje?
Story za namna inayofanana frm same person......smelling a rst here!
au asali ya nyuki wadogo...tamu aisee
asali ya nyuki wanaowika ndo kiboko
Kuna binti nilimtongoza enzi zetu za 1947, akaniomba nimpe muda akaombe ruhusa kwa mama yake mzazi....Alidai akinionjesha halafu mama yake akafahamu atamuua!!
With age....huwa tunakuja kujua kuwa hii dawa tunaihitaji sana!!
Babu DC!!