Ananitekenya kwenye kiganja kila tukishikana mkono!

ww na huyo dada mnapoteza muda huo muda wa kupeana mikono mngekuwa mnafanya kazi za kuingiza pesa
 
ww na huyo dada mnapoteza muda huo muda wa kupeana mikono mngekuwa mnafanya kazi za kuingiza pesa

pesa wamwingizia mwenye kampuni...mshahara palepale...haupandi haushuki...
kwan unazan tunashikana muda mrefu basiii...
a a a a!.kidogo tu anaponisalimia...na lazima awahi kunipa mkono...duh
 
Bagah mara hii jimama lakutekenya mkono, yule demu wako aliyeliwa na mtengeneza kucha imekuwaje?
Story za namna inayofanana frm same person......smelling a rat here!
 
Bagah mara hii jimama lakutekenya mkono, yule demu wako aliyeliwa na mtengeneza kucha imekuwaje?
Story za namna inayofanana frm same person......smelling a rst here!

man are they the same???
na hizi sio story tuu..
ni true story aisee...hahahaa..
hebu dadavua that kind of smel...
wengine wote naona wana mafua...
 
Kuna binti nilimtongoza enzi zetu za 1947, akaniomba nimpe muda akaombe ruhusa kwa mama yake mzazi....Alidai akinionjesha halafu mama yake akafahamu atamuua!!

With age....huwa tunakuja kujua kuwa hii dawa tunaihitaji sana!!

Babu DC!!
 
hili BANGO aisee...
ngoja nifunike kombe mwanaharamu apite...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom