Ananitaka kimapenzi na amenizidi umri, nifanyaje?

Habari za sahivi wana JF , mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikujaga kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni kila mtu akasema yake wengine wakasema tafuta hela wengine wakashuka matusi ila nikakaambali na ile pisi sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipend sana akaomba namba zangu nin!nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu bhas dem namuuliza unamiaka mingap anasema 30 , afu anasema anawatoto 4 aaaah nikijicheki nina 23 mmmh ! Nikaona hapa mbn kazi ippo
Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia akaniaifia sana mara hendsome nin ! Mara anajuta kuwahi kuolewa . nikamuuliza kumbe uliolewa manzi anasema ndyo ila wameachana na bwana wake . sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno mara alegeze sauti mara aniringie nikamwambia mm naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaj mahusiano nae manzi kanivuta mpaka nimemuelewa ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale nae nikae nae na amesema anataka nimuoe ndgu zangu wana JF .naomba mnishauri hii manzi kweli ata ungekua wew ungekubali kukaaa nayo ??na je unawesa kuoa mtu alokupita miaka 7
Mpelekee motooo
 
Daaah broo we ndo naona umeongea ila vip kuhusu watoto hao 4 ndgu wanne wanne aaaah??
Kama ataridhia mwambie aje na huyo wa mwisho tu hao wengine waend kwa bibi yao
Ila kama anauwezo we tulia nao
 
Habari za sahivi wana JF , mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikujaga kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni kila mtu akasema yake wengine wakasema tafuta hela wengine wakashuka matusi ila nikakaambali na ile pisi sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipend sana akaomba namba zangu nin!nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu bhas dem namuuliza unamiaka mingap anasema 30 , afu anasema anawatoto 4 aaaah nikijicheki nina 23 mmmh ! Nikaona hapa mbn kazi ippo
Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia akaniaifia sana mara hendsome nin ! Mara anajuta kuwahi kuolewa . nikamuuliza kumbe uliolewa manzi anasema ndyo ila wameachana na bwana wake . sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno mara alegeze sauti mara aniringie nikamwambia mm naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaj mahusiano nae manzi kanivuta mpaka nimemuelewa ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale nae nikae nae na amesema anataka nimuoe ndgu zangu wana JF .naomba mnishauri hii manzi kweli ata ungekua wew ungekubali kukaaa nayo ??na je unawesa kuoa mtu alokupita miaka 7
Sikiliza moyo wako.
Ila uwe tayari kulea watoto hivo jipange kuwa baba.
Siyo tu kupata k ya mserereko, ukishazoeleka unatakiwa uanze kupambana na kulea familia.
Off course wanakuwaga serious na maisha
 
Wewe kijana mdogo hebu tulia uhangaikie maisha yako na ujiweke sawa.

Kutafuta kurumbembe lenye watoto wanne na mkubwa kiumri kwa sababu gani?

Punguza uzinifu jenga maisha yako ya baadae.
 
🤔
FB_IMG_1667887049818.jpg
 
Unaenda kwa Mwanamke? Usiende!

Utapigwa Bomba dogo... acha ku date na ma legendary
 
Anawatoto wanne arafu mim nasoma medical nikienda kwake naenda na vipimo vya ukimwi na gono na kaswende sifanyi nae hadi nimpime . ishu iko hivi manzi inaniogopesha maana ni mtu wa temeke
Achana na mawazo ya zinaa dogo. Soma. Maliza kusoma halafu tafuta mwanamke wa maisha yako (mke). Achana na manungayembe yaliyoshindikana. Utapotezwa
 
Yan mechi haijaanza mtu kala goli 4, we pambana umalize shule kwanza mengine utayakuta mbeleni huko
 
Always follow your heart bt remember to carry your brains with you.
 
Anawatoto wanne arafu mim nasoma medical nikienda kwake naenda na vipimo vya ukimwi na gono na kaswende sifanyi nae hadi nimpime . ishu iko hivi manzi inaniogopesha maana ni mtu wa temeke
Wewe unasoma medical school ipi?

Kipimo cha Gonno utakachoenda nacho wewe kwake ni kipi hicho?🤔🤔🤔
 
Kingine mimi namaliza chuo mwaka huu isije ikawa ananyemelea tu anipulule vijisenti japo yeye ndo anasema atanipa kila kitu sijui hata kanipendea nin?? Daaah
Ka nanilii🤣sa akupurue visent gani
 
Wewe unasoma medical school ipi?

Kipimo cha Gonno utakachoenda nacho wewe kwake ni kipi hicho?[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23]ni HIV na syphills tu mengine tutajua
 
Back
Top Bottom