Ananitaka kimapenzi na amenizidi umri, nifanyaje?

Habari za sahivi wana JF , mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikujaga kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni kila mtu akasema yake wengine wakasema tafuta hela wengine wakashuka matusi ila nikakaambali na ile pisi sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipend sana akaomba namba zangu nin!nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu bhas dem namuuliza unamiaka mingap anasema 30 , afu anasema anawatoto 4 aaaah nikijicheki nina 23 mmmh ! Nikaona hapa mbn kazi ippo
Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia akaniaifia sana mara hendsome nin ! Mara anajuta kuwahi kuolewa . nikamuuliza kumbe uliolewa manzi anasema ndyo ila wameachana na bwana wake . sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno mara alegeze sauti mara aniringie nikamwambia mm naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaj mahusiano nae manzi kanivuta mpaka nimemuelewa ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale nae nikae nae na amesema anataka nimuoe ndgu zangu wana JF .naomba mnishauri hii manzi kweli ata ungekua wew ungekubali kukaaa nayo ??na je unawesa kuoa mtu alokupita miaka 7
Yani unataka kuoa mtu mwenye watoto 4? Serious kabisa mkuu? Hauko sawa wewe
 
We Bado Ni mtoto afu inaonekana una wenge maneno ya huyo dada inaonekana hajawahi ambiwa

Sisi mbona tuna mademu wengi Facebook wenye watoto na wasio nao hizo voice Hadi naked pictures wanatuma na ninachukulia normal Sasa wewe unakuja fungua thread😁 utoto na ushamba vimejenga nyumba kichwani kwako, Nina watu hivo hivo kila siku wanaongea ndoa wengine tumeonana wengine tuna miaka kadhaa hatujaonana Sasa sijui kinachokushangaza wenge Ni Nini haswa
 
Kingine mimi namaliza chuo mwaka huu isije ikawa ananyemelea tu anipulule vijisenti japo yeye ndo anasema atanipa kila kitu sijui hata kanipendea nin?? Daaah
Anatafuta mtu wa kucheza na wanae 🤣 (natania)

Wee moyo wako unasemaje kuhusu yeye??
 
Sema dem anasema anajua mapenz na kwel anashow arafu kanidatisha sauti yake miguno nin anasema nikitaka zaid niende kwake daaah kmmke wauni tunapitia mengi magumu
Wewe huna uhuni wowote Ni mchumba tu kwanzia namna unajielezea ,, nikisema nitume screenshot huku, voice na ma picha naked patajaa huku Sasa wewe manzi mwenye watoto unafungulia thread😂
 
Ana watoto wanne alafu nikamuweke ndani ingelikuwa mimi nachapa tu lakini sio kuoa.
 
Wewe kijana mdogo hebu tulia uhangaikie maisha yako na ujiweke sawa.Hivi ataweza school fee za watoto wanne

Kutafuta kurumbembe lenye watoto wanne na mkubwa kiumri kwa sababu gani?

Punguza uzinifu jenga maisha yako ya baadae.
Hivi ataweza school fee za watoto wanne huyu jamaa? Labda kama watasoma hizi shule za bure za Samia. watu wa JF hebu mpeni ushauri unaomfaa. Inaonekana huyu jamaa anafikiria tu "****" ya bure, kumbe hajui kuna "string attached"....
 
Nimemzidi demu wangu miaka 13

Ila wewe umepitwa na demu miaka saba tena ana watoto wanne...Duh..!!!!

Ngoja wazoefu waje
 
Habari za sahivi wana JF , mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikujaga kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni kila mtu akasema yake wengine wakasema tafuta hela wengine wakashuka matusi ila nikakaambali na ile pisi sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipend sana akaomba namba zangu nin!nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu bhas dem namuuliza unamiaka mingap anasema 30 , afu anasema anawatoto 4 aaaah nikijicheki nina 23 mmmh ! Nikaona hapa mbn kazi ippo
Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia akaniaifia sana mara hendsome nin ! Mara anajuta kuwahi kuolewa . nikamuuliza kumbe uliolewa manzi anasema ndyo ila wameachana na bwana wake . sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno mara alegeze sauti mara aniringie nikamwambia mm naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaj mahusiano nae manzi kanivuta mpaka nimemuelewa ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale nae nikae nae na amesema anataka nimuoe ndgu zangu wana JF .naomba mnishauri hii manzi kweli ata ungekua wew ungekubali kukaaa nayo ??na je unawesa kuoa mtu alokupita miaka 7
Wewe subiri ukue kwanza.
 
Anatafuta faraja tu huyo, mwanamke mwenye mtoto na ana 30+ huwa wanadata sana kwa vijana.

Kua nae makini, kama kakupenda sana na ukaja mzingua huwa wanaanzisha vanga hao. Ila kwa kupiga tu kama unapenda kamseleleko chapa tu.
 
Mtu ana watoto wa4 anasema hana mume ndgu usihadaike kwenda utaishia kupakwa mafuta
 
Back
Top Bottom