Ananitaka kimapenzi na amenizidi umri, nifanyaje?

Usiende kuishi kwa mwanamke, utanishukuru baadae
 
Wewe dogo bhna.... acha tamaa dogo dunia hii ina watu wa ajabu sana, kakwambia kaachana na mumewe ila nakwambia hajaachana naye sasa we jichanganye wakutatue marinda.

Wanawake na wanaume wa mitandaoni ni waongo sana atakwambia hana mtu ila ukija fatilia unakuta Ana mtu wake
 
Suala la mapenzi/ndoa ni suala kubwa sana nyeti. Ni bahati mbaya vijana wengi wanaingia bila naandalizi au na maandalizi hafifu. Wazazi wengi hawafanyi vyema jukumu la kuandaa vijana kwenye eneo hili.
 
Habari za sahivi wana JF, mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikuja kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni ,kila mtu akasema yake. Wengine wakasema tafuta hela, wengine wakashuka matusi, ila nikakaambali na ile pisi.

Sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipenda sana, akaomba namba zangu nini, nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu.

Basi demu namuuliza unamiaka mingap anasema 30, afu anasema anawatoto 4, aaaah nikijicheki nina 23 mmmh! Nikaona hapa mbona kazi ipo!

Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia, akaniaifia sana mara hendsome nini! Mara anajuta kuwahi kuolewa. Nikamuuliza kumbe uliolewa, manzi anasema ndiyo ila wameachana na bwana wake.

Sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno, mara alegeze sauti, mara aniringie, nikamwambia mimi naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaji mahusiano naye.

Manzi kanivuta mpaka nimemuelewa, ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale naye, nikae nae, na amesema anataka nimuoe.

Ndgu zangu wana JF, naomba mnishauri hii manzi kweli hata ungekua wewe ungekubali kukaaa nayo? Na je, unaweza kuoa mtu alokupita miaka 7?
Duh! Miaka 7? Mama yako mdogo huyo.
 
Bwana mdogo umri ulionao sasa ni mzuri sana hivyo hapa JF unaweza ukapatumia kupata maarifa ya kutengeneza Maisha yako.

Acba kupoteza muda ku compose mambo ya kijinga kijinga kwamza wengine sie ni baba zako.

Tafuta ujuzi na uzingatie kuhajenga maisha kwanza achana na mambo ya kipumbavu ambayo hayatakusaidia
 
Nasikitika hata kuelewa Mkuu
 
Dogo achana na huyo mwanamke. Zishinde hisia zako kwa kuangalia uhalisia wa mambo. Mwanamke ana watoto wanne na inawezekana kila mtoto hapo ana baba yake. Halafu umekutana nae Facebook hao wanakuwaga wapweke sana na ukiingia hapo mwanzoni utakuwa treated kama Mfalme lakini mkizoeana tu utaiona Jehanamu ya duniani. Maana huyo kakuzidi kila kitu mpaka akili ya kitaa wewe bado ni Kijana mdogo sana. Matamanio ya Mbususu yashinde. Halafu shindana na masomo sio hiyo mbususu ya bure ambayo imeshachakaa na wewe bado uko fresh.
 
Habari za sahivi wana JF, mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikuja kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni ,kila mtu akasema yake. Wengine wakasema tafuta hela, wengine wakashuka matusi, ila nikakaambali na ile pisi.

Sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipenda sana, akaomba namba zangu nini, nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu.

Basi demu namuuliza unamiaka mingap anasema 30, afu anasema anawatoto 4, aaaah nikijicheki nina 23 mmmh! Nikaona hapa mbona kazi ipo!

Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia, akaniaifia sana mara hendsome nini! Mara anajuta kuwahi kuolewa. Nikamuuliza kumbe uliolewa, manzi anasema ndiyo ila wameachana na bwana wake.

Sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno, mara alegeze sauti, mara aniringie, nikamwambia mimi naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaji mahusiano naye.

Manzi kanivuta mpaka nimemuelewa, ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale naye, nikae nae, na amesema anataka nimuoe.

Ndgu zangu wana JF, naomba mnishauri hii manzi kweli hata ungekua wewe ungekubali kukaaa nayo? Na je, unaweza kuoa mtu alokupita miaka 7?
Amesema anakupenda kimapenzi au kiumri?
 
yaani unahangaika na mwanamke mwenye watoto 4, huna uamuzi wa kufanya. Ghafla hujui kuwa unakwenda kutwishwa mzingo wa kulisha familia ya mwanaume mwenzako.

vijana wa siku hizi mna matatizo makubwa sana namna mnavyoyachukulia maisha
 
Habari za sahivi wana JF, mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikuja kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni ,kila mtu akasema yake. Wengine wakasema tafuta hela, wengine wakashuka matusi, ila nikakaambali na ile pisi.

Sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipenda sana, akaomba namba zangu nini, nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu.

Basi demu namuuliza unamiaka mingap anasema 30, afu anasema anawatoto 4, aaaah nikijicheki nina 23 mmmh! Nikaona hapa mbona kazi ipo!

Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia, akaniaifia sana mara hendsome nini! Mara anajuta kuwahi kuolewa. Nikamuuliza kumbe uliolewa, manzi anasema ndiyo ila wameachana na bwana wake.

Sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno, mara alegeze sauti, mara aniringie, nikamwambia mimi naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaji mahusiano naye.

Manzi kanivuta mpaka nimemuelewa, ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale naye, nikae nae, na amesema anataka nimuoe.

Ndgu zangu wana JF, naomba mnishauri hii manzi kweli hata ungekua wewe ungekubali kukaaa nayo? Na je, unaweza kuoa mtu alokupita miaka 7?
Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom