Dogo kashiba chakula cha coupon Cafeteria analeta story za Hostel
Dini ni mfumo wa maisha unaokuongoza katika maisha yako ya kila siku hivyo hata mashoga wana diniMbn anaonekana mtu safi jomba anajistri na dini anajua
Oyaa we unawaza miaka 7Habari za sahivi wana JF , mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikujaga kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni kila mtu akasema yake wengine wakasema tafuta hela wengine wakashuka matusi ila nikakaambali na ile pisi sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipend sana akaomba namba zangu nin!nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu bhas dem namuuliza unamiaka mingap anasema 30 , afu anasema anawatoto 4 aaaah nikijicheki nina 23 mmmh ! Nikaona hapa mbn kazi ippo
Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia akaniaifia sana mara hendsome nin ! Mara anajuta kuwahi kuolewa . nikamuuliza kumbe uliolewa manzi anasema ndyo ila wameachana na bwana wake . sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno mara alegeze sauti mara aniringie nikamwambia mm naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaj mahusiano nae manzi kanivuta mpaka nimemuelewa ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale nae nikae nae na amesema anataka nimuoe ndgu zangu wana JF .naomba mnishauri hii manzi kweli ata ungekua wew ungekubali kukaaa nayo ??na je unawesa kuoa mtu alokupita miaka 7
Na dawa zake zimeisha labda mitishamba[emoji87] kuna gono mkuu usikubali
Nipe namba zake tumuonye asisumbue watotoHabari za sahivi wana JF , mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikujaga kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni kila mtu akasema yake wengine wakasema tafuta hela wengine wakashuka matusi ila nikakaambali na ile pisi sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipend sana akaomba namba zangu nin!nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu bhas dem namuuliza unamiaka mingap anasema 30 , afu anasema anawatoto 4 aaaah nikijicheki nina 23 mmmh ! Nikaona hapa mbn kazi ippo
Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia akaniaifia sana mara hendsome nin ! Mara anajuta kuwahi kuolewa . nikamuuliza kumbe uliolewa manzi anasema ndyo ila wameachana na bwana wake . sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno mara alegeze sauti mara aniringie nikamwambia mm naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaj mahusiano nae manzi kanivuta mpaka nimemuelewa ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale nae nikae nae na amesema anataka nimuoe ndgu zangu wana JF .naomba mnishauri hii manzi kweli ata ungekua wew ungekubali kukaaa nayo ??na je unawesa kuoa mtu alokupita miaka 7
Wat hawaelewi tukisema gono ndio ugonjwa ulio trend sana kwa sasaNa dawa zake zimeisha labda mitishamba
Kashiba RB za café 1 na 2Dogo kashiba chakula cha coupon Cafeteria analeta story za Hostel
Daaah broo we ndo naona umeongea ila vip kuhusu watoto hao 4 ndgu wanne wanne aaaah??Oyaa we unawaza miaka 7
Mimi natafuta atakayenizidi miaka 15 iv!!?
Aseee we angalia kama ana akili na anajielewa jenga naye maisha hawa madogo wa 20's ni kichomi saana[emoji1666]
Upo mtaani kwa kasi na wakifika wanaambiwa eti UTIWat hawaelewi tukisema gono ndio ugonjwa ulio trend sana kwa sasa
😳upo under 23? 😂😂😂🙌Aaaa mimi ni dogo kuliko wewe ila akili zako aisee ukikua utajua huyo anatafuta wa kumfuchia aibu we kula tembea unaoaje mtu kashakutangulia bao 4 mbele
Tatizo vijana wabishi wanapenda uteleziUpo mtaani kwa kasi na wakifika wanaambiwa eti UTI
Soma acha ujingaAmna broo mim mtu wa kondoa irangi