Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,813
Kweli we ni mwendawazimu!
Ha ha ha !naona mada imekugusa sana na ubadilikee kwaanzia sasa uanze kuhonga kwa jina la Yesu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiojua kuhonga ndio wanaume wanaopetea kwenye uanaume?yaan nyie ni binadam wa ajabu sana ,wanaotimiza mahitaji yenu ndio wanaume?Yaan wanabalaa ujue, mie nikisoma mawazo yao huwa nahisi wanaume wanapotea kwenye uwanaume wao wanabaki wanaume wachache sana
Kaa kimya tuu Daby
Maana nilikuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa baadhi ya wanaume wanaopenda kulalamika kuhusu kuombwa pesa kwamba huwa wanaombwa kiasi gani mpaka wajitutumue kuongea shit kiasi kile
Inafikia hatua eti mwanaume anasema yeye kazi yake mgegedo tuu huduma ni jukumu la wazazi wa mwanamke seriously?
Eti huyo naye yupo kwenye kundi la wanaume![]()
Hahahahahah!!! Mkuu umeongea ukweli Sanaaa!!! Hawa watu n selfish sanaaa!!!!! Ndio maan wanaishiwa kumegwa tuu na kutupwaa kule kama gandaa la ndiziiiiWasiojua kuhonga ndio wanaume wanaopetea kwenye uanaume?yaan nyie ni binadam wa ajabu sana ,wanaotimiza mahitaji yenu ndio wanaume?
Suala la mapenz ya dhati kwenu hakuna ni pesa tuu,kufikishwa mt Kilimanjaro sio issue now day Bali pesa tuu ndio issue
Hivi hayo mabwawa yenu mbona hatulalamiki?unakuta mwanamke ananata na mbwembwe kibao ila ukifunua huko unakuta qumma utadhan kachukua na za jirani zake kumbe ni yake pekeee,
Mwanamke mzuri,mvuto,qumma nta,ana haki ya kuhongwa kwani nikiingia mgodini nakuta makinikia saaaafi ila nahonga halafu nakuta bwawa tutagombana aseee
Hivi,,, mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke ambao sio mume na mke, ni biasharaaaa,,, au mahusiano. Zamani wahenga walikuwa wakipendana kwa sababu mbalimbali,,,kama ujasiri,, ushujaa,, uhodari wa jambo,,, n.k. suala la pesa,,, sio kigezo,,, maana hakiuzwi. Mhenga anampa mwanamke zawadi kama shukrani,,,,,ila sikuhizi,,,,,mmmhhh,,,,,,kila kitu kinawekwa kwenye commercial terms....pambaneni na hali zenu,,,ACHA KUCHEKESHA ETI OOOHHH ANANIPENDEA PESA
Unaishi nyumba ya kupanga na hata kama umejenga kwa mkopo kudunduliza matufali, una kagari kamkopo au hata ni mtu wa daladala. Akija kwako ukijitahidi sana umempa hela ya Bajaji sana sana utaongezana naye kutembea kujifanya eti mapenzi kumbe ubahili.
Ukimpeleka gest umejitahidi sana elfu hamsini. Halafu kakuomba hela ya saluni unaanza kujishaua ooohh huyu dada anapenda hela oooo hana mapenzi ya kweli anapenda hela tu. Uanchekesha ndugu yangu kwa hela zipi ulizonazo!
Yaani mtu unajiunga Bando la Chuo wakati ni MHENGA halafu uansema unapendewa pesa. Unasema oohhh anataka kuhongwa ndugu yangu ndugu yangu, tofautisha kuhonga na kuhudumia na acha kujipandisha namna hiyo.
Kama hujawahi mnunulia mwanamke Gari unatoa hela ya Bajaji jua wewe huhongi unahudumia, unatoa tu huduma ya usafiri basi. Kama hujawahi mnunulia Brazilian ya milioni moja na laki mbili ndugu yangu wewe ile elfu thelathini ya saluni huku honga ulihudumia.
Kama akikuomba laki mbili ya msibani unatoa elfu ishirini na unataka uende kabisa huko msibani ndugu yangu wewe huhongi unahudumia. Hivyo hembu tulia pambana na hali yako acha kumharibia jina binti wa watu kwa kusema ohhh eti anapenda pesa.
Nikuambie kitu huyo Dada angekua anapenda pesa angekua ashakuacha muda mrefu. Mtu kila siku hata hajawaza kukuomba hela ushaanza kulia shida ili usiombwe. Anakuvumilia tu na wewe huhongi bali unahudumia kutokana na huduma unazopewa!
[HASHTAG]#KaaKimya[/HASHTAG]
COPY AND PASTE
Davoo tema mate chini aysee ! Now dayz kufikishwa Kilimanjaro sio issueWasiojua kuhonga ndio wanaume wanaopetea kwenye uanaume?yaan nyie ni binadam wa ajabu sana ,wanaotimiza mahitaji yenu ndio wanaume?
Suala la mapenz ya dhati kwenu hakuna ni pesa tuu,kufikishwa mt Kilimanjaro sio issue now day Bali pesa tuu ndio issue
Hivi hayo mabwawa yenu mbona hatulalamiki?unakuta mwanamke ananata na mbwembwe kibao ila ukifunua huko unakuta qumma utadhan kachukua na za jirani zake kumbe ni yake pekeee,
Mwanamke mzuri,mvuto,qumma nta,ana haki ya kuhongwa kwani nikiingia mgodini nakuta makinikia saaaafi ila nahonga halafu nakuta bwawa tutagombana aseee
Kweli ukizidisha ni ufala tu mkuu. Halafu hawa viumbe hawaeleweki we utahonga sana lakini kuna mwingine ni free pu.mbu tu anagegeda.Kusema ukweli mim napenda kuhonga ila not to extent ya kumaliziana mtaji,... Kwan unauza nn,