Ananipendea pesa

Ananipendea pesa

Kaa kimya tuu Daby
Maana nilikuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa baadhi ya wanaume wanaopenda kulalamika kuhusu kuombwa pesa kwamba huwa wanaombwa kiasi gani mpaka wajitutumue kuongea shit kiasi kile

Inafikia hatua eti mwanaume anasema yeye kazi yake mgegedo tuu huduma ni jukumu la wazazi wa mwanamke seriously?
Eti huyo naye yupo kwenye kundi la wanaume
Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika .

Ukiupata huo wimbo niwekee hapa puliiiz
 
Kaa kimya tuu Daby
Maana nilikuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa baadhi ya wanaume wanaopenda kulalamika kuhusu kuombwa pesa kwamba huwa wanaombwa kiasi gani mpaka wajitutumue kuongea shit kiasi kile

Inafikia hatua eti mwanaume anasema yeye kazi yake mgegedo tuu huduma ni jukumu la wazazi wa mwanamke seriously?
Eti huyo naye yupo kwenye kundi la wanaume
Tena bila ata aibu anajisfu kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukweli mim napenda kuhonga ila not to extent ya kumaliziana mtaji,... Kwan unauza nn,
 
ACHA KUCHEKESHA ETI OOOHHH ANANIPENDEA PESA

Unaishi nyumba ya kupanga na hata kama umejenga kwa mkopo kudunduliza matufali, una kagari kamkopo au hata ni mtu wa daladala. Akija kwako ukijitahidi sana umempa hela ya Bajaji sana sana utaongezana naye kutembea kujifanya eti mapenzi kumbe ubahili.

Ukimpeleka gest umejitahidi sana elfu hamsini. Halafu kakuomba hela ya saluni unaanza kujishaua ooohh huyu dada anapenda hela oooo hana mapenzi ya kweli anapenda hela tu. Uanchekesha ndugu yangu kwa hela zipi ulizonazo!

Yaani mtu unajiunga Bando la Chuo wakati ni MHENGA halafu uansema unapendewa pesa. Unasema oohhh anataka kuhongwa ndugu yangu ndugu yangu, tofautisha kuhonga na kuhudumia na acha kujipandisha namna hiyo.

Kama hujawahi mnunulia mwanamke Gari unatoa hela ya Bajaji jua wewe huhongi unahudumia, unatoa tu huduma ya usafiri basi. Kama hujawahi mnunulia Brazilian ya milioni moja na laki mbili ndugu yangu wewe ile elfu thelathini ya saluni huku honga ulihudumia.

Kama akikuomba laki mbili ya msibani unatoa elfu ishirini na unataka uende kabisa huko msibani ndugu yangu wewe huhongi unahudumia. Hivyo hembu tulia pambana na hali yako acha kumharibia jina binti wa watu kwa kusema ohhh eti anapenda pesa.

Nikuambie kitu huyo Dada angekua anapenda pesa angekua ashakuacha muda mrefu. Mtu kila siku hata hajawaza kukuomba hela ushaanza kulia shida ili usiombwe. Anakuvumilia tu na wewe huhongi bali unahudumia kutokana na huduma unazopewa!

[HASHTAG]#KaaKimya[/HASHTAG]
COPY AND PASTE
Kama hiyo anayopewa ni kidogo si angekuwa anakataa? Hiyo hiyo pesa ambayo unajifanya unaona ndogo ndiyo inayomfanya asiondoke. Hivi unadhani kupata danga la kuhonga mamilioni demu anaamua tu halafu analipata ee. Eti angefuata pesa angekuwa ameshaondoka, uliza wangapi wanataka kuhongwa mamilioni halafu "wanaamua" tu then wanaanza kuhongwa. Yale ya kwenye filamu ni maigizo wewe, acha kupotosha wenzio. Na kama unga umeshaanza kukupa ndoto za hivyo nenda rehab.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unafaa kua mchepuko,kuoa anaolewa mwingine ambaye tutafanya maendeleo,kwako nikuja kukulamba tu nakupa na pesa ambazo wewe unaona hazitoshi.

Utaniona nikikosana na mke wangu,au mke wangu akiwa kajifungua au nasafiri na sitaki kununua malaya nisiyemfahamu nakufuata wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom