Ananipa mapenzi yote bila kipimo

Ananipa mapenzi yote bila kipimo

Hakuna linaloshindikana chini ya jua, pambania furaha yako
ha ha ha naogopa kichwa cha chini kisije kikaniharibia familia mkuu....najaribu kuchukulia kama sehemu ya historia inayotakiwa kujiandika katika maisha yangu ya ujana
 
ha ha ha naogopa kichwa cha chini kisije kikaniharibia familia mkuu....najaribu kuchukulia kama sehemu ya historia inayotakiwa kujiandika katika maisha yangu ya ujana
Mkuu ukianza kula nyama ya mtu huachi!!!!! Tamaa imeshabeba mimba hiyo ohoooo
Pole kwa mwanamke mwenzangu kama na yeye hajapata wa kumpa kila kitu huko aliko
 
Ananipa mapenzi yote bila kipimo...
Huyu mdada nimekuwa naye kimahusiano zaidi ya miezi sita sasa,yeye ni mke wa mtu nami ni mume wa mtu.Akija kwangu atanihudumia kama mumewe mfano kufua,kupika,kufanya usafi,kunipa tendo staili zote bila kipimo n.k Amekuwa ni mtu wa kunipa furaha na kunichangamsha hasa pale ninapokuwa mpweke. Changamoto iliyopo ni kuwa, uhusiano wetu hauna 'future' zaidi ya kupeana raha tu kwa sasa. Hofu yangu ni kuwa, nitaishije ifikapo muda wa huyo bi mdogo kuondoka na kurejea kwenye mji wake wakati mi nimeshamzoea?Najihisi nitakuwa 'lonely' sana
Mkuu ebu fanya maarifa mwenye mke akufumanie kwanza. Ili tupate wazo zuri la kukushauri. [emoji40][emoji40][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukianza kula nyama ya mtu huachi!!!!! Tamaa imeshabeba mimba hiyo ohoooo
Pole kwa mwanamke mwenzangu kama na yeye hajapata wa kumpa kila kitu huko aliko
ha ha ha mkuu si unajua si me kama uko mkamilifu ni vigumu kuvumilia mwezi bila kugusa ile kitu?
 
ha ha ha mkuu si unajua si me kama uko mkamilifu ni vigumu kuvumilia mwezi bila kugusa ile kitu?
Wewe hujaGUSA tuu, umegusa ukaNASA kabisa
Hatari sana.....
Kwani vinakuaga na siri basi!? Siku yakikufika usiache kuja kutumwagia hapa tukupe pole hehehe
 
Wewe hujaGUSA tuu, umegusa ukaNASA kabisa
Hatari sana.....
Kwani vinakuaga na siri basi!? Siku yakikufika usiache kuja kutumwagia hapa tukupe pole hehehe
ha ha ha tunaomba yasitokee hayo mkuu
 
Back
Top Bottom