Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,499
- 18,357
Akikuona mjinga wewe muone yeye mwerevu.
If he really needs help, he should give you the chick's number so as you can work on their separation.Bro code no 6: A bro shall leave whatever he's doing, to help a nother bro dump a chick!
Haya sema, tunaanzia wapi?
Ready to receive, with open arms!If he really needs help, he should give you the chick's number so as you can work on their separation.
Ready to receive, with open arms!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Atakutesa kwa sababu unampenda, utaratibu ni kumuacha usimwambie lolote. Kama ulimtupa au kumsahau usingeomba msamaha, mwambie ukweli kwamba kama hajirekebishi hautakuwa na sababu ya kulaumiwa kwa uamzi unaofuata.Hapana niliwaza tu huenda kunajambo nimekosea hajaniambia so kwakuwa namhitaji nikaona niombe msamaha tujenge mahusiano
Ninawaza kama wewe, ila wenzangu kuna kitu cha ziada mnakiona, mmejuaje kama huyu ni wa kiume?huwa namshangaa sana mwanaume anaelilia mwanamke..yani with all these cute gals out there unakaa unalilia mmoja?pathetic
Hahaha mkuu mm nimepita hapa yani nlikuwa na mtu for 2 years tukizinguana nikawa naomba msamaha siku hyo tumetoka mkoa flani tulikaa wote kama 5 days kilamtu akaenda mkoa wake kufika kwao nampigia hapokei nikaomba msamaha hajibu nkaona inatosha kimya now naona mara anangalia status mara aniblock mara aniunblock mi nimeamua kurudia chapa ilale maisha mafupi haya
[/QUOTE
Duh hatar sana
Ulimletea zawadi?[emoji23][emoji23]Hapana mm nilikuwa nje ya nchi nafika hapa Tz nakutananaye vizur siku ya tatu akawa ananijibu shortly so ndo nikaanza kujua kunatatizo nikimuuliza haniambii.
UmeonaeeeeUnatoka nje Ya nchi kufika tu Tz siku Ya tatu unaanz kulilia mapenz bro mi nazan huu ulikua muda mzur wakufungua uzi kutuelezea fursa zilizopo nchi uliotoka!?
[emoji1][emoji1][emoji1]Unaanza kunitesa kama jamaa anavyoteswa!!Jisamehe mwenyewe ndipo nami nikusamehe
Sijui umekosa nini jamani[emoji1][emoji1][emoji1]Unaanza kunitesa kama jamaa anavyoteswa!!
Tafadhali naomba msaada mimi nafanyaje wadau